ANAUPIGA MWINGI ahahaa ππππHadi tumesahau hata kuangalia game imefika dakika ya ngapi kwa jinsi mama anavyoupiga mwingi.
Acha woga kijanaKwa Mimi ninavyojuwa wewe Ussr ndio mwigulu
Sasa sijui umekuja kupima upepo??
Sukuma Geng poleni
Mama samia mitano mingine
Acha uwongo,,powel ALIISHAFARIKIInflation kwa sasa hata mzee baba US wamenyoosha mikono jana Powell kaishia kubwabwaja tu kwenye FOMC
ππππ anajua mwenyewe kamsikia wapi akiongea.Acha uwongo,,powel ALIISHAFARIKI
Powell yupo ,ok hata mifugo imepaa beiInflation kwa sasa hata mzee baba US wamenyoosha mikono jana Powell kaishia kubwabwaja tu kwenye FOMC
Makada ndio watu ganiLakini mlitukejeli kuwa tuhame nchi,Naona makada maumivu yamewafika!
Watu kama wewe,ambao hamtambui maumivu ya wengine mpaka yawakute na ninyi!Makada ndio watu gani
USSR
Hahahaaaa.......!Acha uwongo,,powel ALIISHAFARIKI
We mabange tunakula bangi na kujengea bangiBia haijapanda bei, kwa hiyo hamna shida
View attachment 2046550