Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

kama jana tumepokea gharama za mafuta zimepanda .. kwanini serikali isiingilie kati???
 
Mnataka niwaaambieje kweni nyie hamuendi kufanya manunuzi ,kipi bei haijapanda.


Ni miezi tu tangu Samia achukue kitu kila kitu kinapaa tena kina kimbia hasa.

Wananchi wanahasira tena inafuka na hasira hizi ni kwenye box la kura .

Mwigulu yupoyupo tu hataki kupambana na walanguzi hasa magabachori kila mtu anauza atakavyo ni matatizo

Samia anauwa uchumi na taifa halitamsamehe

USSR
 
Bia haijapanda bei, kwa hiyo hamna shida
 
Acha wafanyabiashara tuwe matajiti


Kwani nyie hamtaki mabilionea tuongezeke kama USA
 
Back
Top Bottom