Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Waendelee kuchukia tu. Mama amefungua nchiAm telling you nimetoka Kijijini Nyanda za Juu kusini wamechukia sana utawala huu hasa kwenye Bei ya mbolea. Wakulima wanalalamika balaa
Watu wengi sio waelewa na hata hamfuatilii Hali halisi ya mwenendo wa uchumi wa Dunia kwa sasa..Ongeza na gharama ya egesho ukienda kununua huo mtungi buku juu
Muhimili unamfundisha mbowe adabu kwanzaNdugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
Ridomil gold, Unaijua ndala ya chooni kwa vile wewe ni kinyesi na mahali unapoishi ni chooniNdala ya chooni
Acha uwongo,,powel ALIISHAFARIKI
Kwa kuwa wapigania katiba ni kwaajili ya familia zao tu sisi wengine haituhusu basi acha inyesheNdugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.
Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?