Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

Kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha, mhimili wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?

Ongeza na gharama ya egesho ukienda kununua huo mtungi buku juu
Watu wengi sio waelewa na hata hamfuatilii Hali halisi ya mwenendo wa uchumi wa Dunia kwa sasa..

Mfumuko wa bei umeikumba Dunia yote sio ishu ya Tzn au serikali kushindwa na sababu kuu ni covid 19,look here 👇

Screenshot_20211217-063204.png

Screenshot_20211217-062828.png

Screenshot_20211217-062900.png

Screenshot_20211216-201427.png

Screenshot_20211216-062627.png

Screenshot_20211216-143556.png

Screenshot_20211216-062244.png

Screenshot_20211215-081733.png

Screenshot_20211214-063622.png

Screenshot_20211213-065227.png

Screenshot_20211213-065533.png

Screenshot_20211213-065435.png

Screenshot_20211212-223019.png

Screenshot_20211212-223321.png

Screenshot_20211212-222910.png

Screenshot_20211212-222515.png

Screenshot_20211212-223341.png

Screenshot_20211212-222430.png
 
Ndugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.

Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.

Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
Muhimili unamfundisha mbowe adabu kwanza
 
Kama china wanshida ya energy hui ndo mda muafaka wa kukamilisha bwawa la Nyerere harafu tuwe na umeme nafuu tuvutie wawekezani na Technologia Tanzania
 
Ndugu zangu Watanzania, bila shaka kila Mtanzania wa hali ya chini ameguswa na kupanda kwa bei za vitu hapa Nchini.

Swali la kujiuliza ni kwamba, kwa nini bei za vitu zimepanda na hakuna mwenye dhamana hata mmoja anayejitokeza kuelezea suala hili?

Mbaya zaidi,hata tuliowaamini tukawapa kura ili watuwakilishe katika kuisimamia na kuishauri Serikali, nao wamekaa kimya kwa sababu tu wao wana mishahara minono.

Naomba maoni yako.
 
Tanzania 50% ya watu wote wapo chini ya miaka 14, hivyo nguvu kazi ya kuzalisha ni ndogo na wetegemezi wengi. Mahitaji yanakuwa makubwa yanapelekea bei kupanda.

Sasa utauliza mbona awamu ile haikuwa hivi?
 
Ndugu zangu Watanzania, miezi michache ya hivi karibuni kumekuwa na hali ya kupanda kwa bei za vitu karibu kila kukicha.

Hii inasababisha sisi Watanzania kuishi maisha magumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.

Mhimili wetu unaotuwakilisha na wenye wajibu wa kuisimamia serikali unasemaje kuhusu hili?
Kwa kuwa wapigania katiba ni kwaajili ya familia zao tu sisi wengine haituhusu basi acha inyeshe

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom