Kumekuwa na ongezeko kubwa la kansa ya etugru (anal cancer) duniani

Kumekuwa na ongezeko kubwa la kansa ya etugru (anal cancer) duniani

Status
Not open for further replies.
Ongezeko hili linadhaniwa ni kwa sababu kwa kuongezeka kwa vitendo vya ongezeko la ngono kwa njia ya tugru.

Infection ya HPV inaweza kuathiri etugru kwa kiwango kikubwa sana kupelekea cancer ambayo kutibika inakuwa mbinde.

Kuwekeni makini sana
kuna watu wanashinikiza pawepo na haki ya kusuguana hayo maeneo Tanzania, huenda athari ikawa kubwa zaidi kwa changamoto hiyo ikiwa watafikiwa,

na inavyoonekana,
huenda wanaochochea haki hiyo tayari wanaishi ndani ya haki hiyo na pengine tayari changamoto hiyo ya cancer tayari imeshaanza kuwatafuna.Mwenyezi Mungu atuepushie mbali balaa hilo.

ni muhimu sana kuchukua tahadhari na juu ya jambo hilo la fedheha sana 🐒
 
maambako ***** kama kawaida, stori kufirwarwa tu punga wewe
Screenshot_20260628_204924_Google.jpg

Ndugu makalio yupo active,

Over!
 
Colorectal cancer ni moja ya saratan zinazomaliza watu hapa TZ. Kama unaishi maeneo ya kanda ya ziwa cheki afya yako ukipata nafasi.
sababu zinazoweza kusababisha
-ulaji wa nyama nyekundi kwa wingi
-ulaji nyama zilizosindikwa au nyama choma
-uzito mkubwa kupindukia
-Bawasili
-Vinasaba
-ngono kinyume na maumbile
-nyingine bado hazijulikani
Tusifanye dhihaka na magonjwa kuna watu wanateseka.
 
Mwana kulitaka mwana kulipata. Wavimbe zitoke nje nje shenz zao. Milinials kulikuwa na kamsemo "what a man can do, a woman can do better" lakini gen z wao ni "what a woman can do, a man can do better"
 
Ongezeko hili linadhaniwa ni kwa sababu kwa kuongezeka kwa vitendo vya ongezeko la ngono kwa njia ya tugru.

Infection ya HPV inaweza kuathiri etugru kwa kiwango kikubwa sana kupelekea cancer ambayo kutibika inakuwa mbinde.

Kuwekeni makini sana
ERTUGRUL BEY kuna ukweli wowote kwenye hili mkuu au una maoni mengine katika hili naona wamekupa jina jipya la namna hio huyu atakua sio Chizi Maarifa kweli?
 
ERTUGRUL BEY kuna ukweli wowote kwenye hili mkuu au una maoni mengine katika hili naona wamekupa jina jipya la namna hio huyu atakua sio Chizi Maarifa kweli?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi naonewa sana humu ndani. Sababu ya kupenda kwangu makebo makubwa, na kifuani tanganian zilizojaa huku nikipendelea kukisugua ki ritz cha warembo ambacho kimetuna. So wengi wanajua natumia sana jagina aka ertugrul bey kumbe wala hizo kuna wakali wake wanatumia sana.
 
Colorectal cancer ni moja ya saratan zinazomaliza watu hapa TZ. Kama unaishi maeneo ya kanda ya ziwa cheki afya yako ukipata nafasi.
sababu zinazoweza kusababisha
-ulaji wa nyama nyekundi kwa wingi
-ulaji nyama zilizosindikwa au nyama choma
-uzito mkubwa kupindukia
-Bawasili
-Vinasaba
-ngono kinyume na maumbile
-nyingine bado hazijulikani
Tusifanye dhihaka na magonjwa kuna watu wanateseka.
Mkuu kwa nini watu wa kanda ya ziwa specifically? Au iko kwa wingi zaidi maeneo hayo? Je wafanye nini kujikinga?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom