Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali

Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali.

Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo.

Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli watu kwa manufaa yao.

IMG-20250317-WA0001.jpg
IMG-20250317-WA0003.jpg
 
Ccm ni chama cha matapeli na majambazi, hakuna namna yoyote ya kuitenga ccm na utapeli.
 
Kwanza tueleze mtu anawezaje kufunguwa account bila vitambulisho?

Hapa mmeshadhurumiana pesa halafu mnatuchezea akili.

Mbona saini ya Amos Makala ndiyo hiyohiyo?
 

Attachments

  • FB_IMG_1742195180721.jpg
    FB_IMG_1742195180721.jpg
    52.1 KB · Views: 34
Ccm mko vizuri sana yani mmeshamtandika pesa Nabii Geordavie.😃😃
 
Back
Top Bottom