Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Mar 17, 2025 #1 TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali. Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo. Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli watu kwa manufaa yao.
TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali. Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo. Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli watu kwa manufaa yao.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,453 Reaction score 111,795 Mar 17, 2025 #2 Ccm ni chama cha matapeli na majambazi, hakuna namna yoyote ya kuitenga ccm na utapeli.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,453 Reaction score 111,795 Mar 17, 2025 #3 Kwanza tueleze mtu anawezaje kufunguwa account bila vitambulisho? Hapa mmeshadhurumiana pesa halafu mnatuchezea akili. Mbona saini ya Amos Makala ndiyo hiyohiyo? Attachments FB_IMG_1742195180721.jpg 52.1 KB · Views: 34
Kwanza tueleze mtu anawezaje kufunguwa account bila vitambulisho? Hapa mmeshadhurumiana pesa halafu mnatuchezea akili. Mbona saini ya Amos Makala ndiyo hiyohiyo?
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,453 Reaction score 111,795 Mar 17, 2025 #4 Ccm mko vizuri sana yani mmeshamtandika pesa Nabii Geordavie.😃😃