Kumekuwa na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali cha ajira Mwaka 2024 hadi leo 2025

Nyie waalimu mliofeli usaili mna matatizo ya akili
Kuna watanzania wabinafsi mpk Mhe. Shetani anakaa benchi anashangaa. Badala kuungana kuona namna ya kusolve hiyo puzzle na kumshauri vyema Rais mnakalia upuuzi kafeli usaili usali.. sio Kila mtu ana muda wa kufanya huo ushuzi wenu. Wakifeli au kufauli unawalisha wewe Kila siku na kuwatunza? Uliwasomesha wewe?
 
Pdf zimesitishwa kutoka wanasibiri nini na usaili umeisha.
 
Kuna watanzania wabinafsi mpk Mhe. Shetani anakaa benchi anashangaa. Badala kuungana kuona namna ya kusolve hiyo puzzle na kumshauri vyema Rais mnakalia upuuzi kafeli usaili usali.. sio Kila mtu ana muda wa kufanya huo ushuzi wenu. Wakifeli au kufauli unawalisha wewe Kila siku na kuwatunza? Uliwasomesha wewe?
Sasa kama hamna muda wa kufanya upuuzi c mkae makwenu mnalalamika nn sasa
 
Nina ushahidi wengi hawakufanya na wengine hawakuwa na hati za viapo kufuatia tofauti ya majina katk vyeti au majina mawili na pengine matatu. Nauliza kama huo usaili wako unaopigia chapuo Hapa ungekuwa tunu kama unavyojitapa nao si wangechukua hizo hati mapema nasikia ni 5k pekee. Psrs walitangaza since January, najua pia wengi hawakuweza kufanya.

Sasa unasemaje watu wanaona Haki ya ajira kwa waalimu na maslahi ya Watoto masikini huko vijijini kuwa wote wamefeli usaili? Fikiri nje ya box usilewe ubinafsi wewe ni kiumbe tuu. Hata kama watoto wako wanasoma st. Jesus.
 
Kazi yangu kufundisha wajinga kama Hawa acha nao
 
Hata kada zngn pia kuna hao wapumbavu ambao wanasafiri mpaka Dom wanakuja bila vyeti na hapo n usaili wa zaid ya mara moja mana wao wanachukulia kila kitu simple tuu.
Mm kila kitu changu kimekamilika mana najua kilichopo mbele yangu.
Tatizo lenu waalimu mlikua utumishi wanatania ila mkashangazwa 😂
 
Back
Top Bottom