Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Hahah kwa taarifa Yako sio Kila anaesimamia Haki ktk suala hili kafanya usaili. Usiwe na akili za kukopi na kupesti.Nyie waalimu mliofeli usaili mna matatizo ya akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah kwa taarifa Yako sio Kila anaesimamia Haki ktk suala hili kafanya usaili. Usiwe na akili za kukopi na kupesti.Nyie waalimu mliofeli usaili mna matatizo ya akili
Kuna watanzania wabinafsi mpk Mhe. Shetani anakaa benchi anashangaa. Badala kuungana kuona namna ya kusolve hiyo puzzle na kumshauri vyema Rais mnakalia upuuzi kafeli usaili usali.. sio Kila mtu ana muda wa kufanya huo ushuzi wenu. Wakifeli au kufauli unawalisha wewe Kila siku na kuwatunza? Uliwasomesha wewe?Nyie waalimu mliofeli usaili mna matatizo ya akili
Tanzania ndio nchi pekee ccm ukiweza kutumikia kama mafwere unapewa vyeo.
Sasa kama hamna muda wa kufanya upuuzi c mkae makwenu mnalalamika nn sasaKuna watanzania wabinafsi mpk Mhe. Shetani anakaa benchi anashangaa. Badala kuungana kuona namna ya kusolve hiyo puzzle na kumshauri vyema Rais mnakalia upuuzi kafeli usaili usali.. sio Kila mtu ana muda wa kufanya huo ushuzi wenu. Wakifeli au kufauli unawalisha wewe Kila siku na kuwatunza? Uliwasomesha wewe?
Nina ushahidi wengi hawakufanya na wengine hawakuwa na hati za viapo kufuatia tofauti ya majina katk vyeti au majina mawili na pengine matatu. Nauliza kama huo usaili wako unaopigia chapuo Hapa ungekuwa tunu kama unavyojitapa nao si wangechukua hizo hati mapema nasikia ni 5k pekee. Psrs walitangaza since January, najua pia wengi hawakuweza kufanya.Sasa kama hamna muda wa kufanya upuuzi c mkae makwenu mnalalamika nn sasa
Hata kada zngn pia kuna hao wapumbavu ambao wanasafiri mpaka Dom wanakuja bila vyeti na hapo n usaili wa zaid ya mara moja mana wao wanachukulia kila kitu simple tuu.Nina ushahidi wengi hawakufanya na wengine hawakuwa na hati za viapo kufuatia tofauti ya majina katk vyeti au majina mawili na pengine matatu. Nauliza kama huo usaili wako unaopigia chapuo Hapa ungekuwa tunu kama unavyojitapa nao si wangechukua hizo hati mapema nasikia ni 5k pekee. Psrs walitangaza since January, najua pia wengi hawakuweza kufanya.
Sasa unasemaje watu wanaona Haki ya ajira kwa waalimu na maslahi ya Watoto masikini huko vijijini kuwa wote wamefeli usaili? Fikiri nje ya box usilewe ubinafsi wewe ni kiumbe tuu. Hata kama watoto wako wanasoma st. Jesus.