Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mtindi wao huwa ni mzito kweli kweli,nambari wani.
Kama Morogoro Msamvu waliweza kula mishikaki ya Iringa bila kujua tena kwa muda mrefu basi siyo ajabu watu wakanywa maziwa ya kitoweo hichohichoKumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji?, Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo, Je ni maziwa ya ngombe? View attachment 2934332
mbona ni sawa na maji ya kunywa na mishkaki ya town 🐒Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji?, Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo, Je ni maziwa ya ngombe? View attachment 2934332
Mkuu maziwa ya Punda tena?Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji?, Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo, Je ni maziwa ya ngombe? View attachment 2934332
NAKAZIA HAPA.Hayo ni maziwa halali ya ng'ombe pamoja na mtindi.
Hao wachuuzi wanajumua kutoka viwanda vya maziwa CHAWAKIMU na Kingine TREASURE vilichopo Kiluvya madukani vinachoendeshwa na wafugaji wa Kisarawe, Kibaha,Dar es salaam na Baadhi ya Bagamoyo.
Kama kuna uchakachuaji basi waamue kuongeza maji kidogo ili kupata faida zaidi ila hiyo kwa watu wenye tamaa. Na mteja kama amewahi kuonja maziwa hayo yakiwa hayajachakachuliwa akionja yenye uchakacjuaji atajua tu na wateja atawapoteza.
daah ila watani zangu wa singida hii sio poaKumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji?
Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo.
Je, ni maziwa ya ngombe?