Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie vijana hakuna kiumbe kisicholiwa chini ya hii dunia,kwahiyo kama yeye hatumii kuna watu wanatumiaUmeweka Picha ya Punda? Ili kutishia wasio kuwa na uelewa?
.
Sikiliza kwanza maziwa ya punda ndio maziwa Bora miongoni mwa maziwa yote, ukiondoa maziwa ya Mama, maziwa yanayo fuatia ni ya punda, watalamu wanasema yako sawa kabisa na maziwa ya binadamu kwa ubora.
Cleopatra malikia wa Egypt inaaminika alikuwa anaogea maziwa ya Punda enzi hizo.
Maziwa ya punda ni ghari sana,
Nashukuru kwa kutambua hilo!, nadhani baada ya kufanya hivyo huyaweka blue band ili tuyaone ni halisi kutoka kwa ngombe!Siri ya mtindi kuwa mzito, kwanza anza wewe kuyachunguza kwa kuyaacha yalale siku tatu, utakuta yamegawanyika maratatu chini kitu kama maziwa hiki hufanya yawe mazito, kinafuatia maji na juu kabisa maziwa ya mtindi, yanakuwa juu kwa sababu ni mepesi.
Hiki sasa ndicho hufanyika kuyaboresha, unga wa ngano hukorogwa kwenye maji kisha huchemshwa na kuacha uji huo mwepesi upowe, ukishapoa huchanganywa na mtindi na kukorogwa muda wote, mnunuzi anaponunua huuona mtindi mzito.
Kwanini hukorogwa muda wote, jibu lipo juu.
unachagua tu ule kuku au maini au stakeHuku kwetu uswazi hadi nyama inapitishwa kwenye ndoo mitaani inauzwa😀😀
-Afya ya mtanzania ni muhimu sana-Huyu alieleta huu uzi nahisi ni afsa masoko wa ASAS