Kumetokea nini tena mbona hivi sasa kila mwana Yanga SC akisema HATUCHEZI Juni 15, 2025 anaisema KINYONGE sana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Niliposema mara mbili JF kuwa hakuna mwana Yanga SC wa kushindana na AMRI ya Serikali ya CCM hamkunielewa au?
 
Ile timu ina vigogo wakubwa wenye heshima nchi hii. Mzee kikwete, mama karume, mwigulu na wengine hawatakubali timu yao iwaaibishe, itacheza tu kwa lazima whether they like or not. Isipocheza waheshimiwa wale wataonekana ni wachochezi wa migogoro ya vilabu
 
Nimesoma comment, nikaja kugundua kitu, kumbe yang na ccm hauwezi watenganisha?
 
Ile timu ina vigogo wakubwa wenye heshima nchi hii. Mzee kikwete, mama karume, mwigulu na wengine hawatakubali timu yao iwaaibishe, itacheza tu kwa lazima whether they like or not. Isipocheza waheshimiwa wale wataonekana ni wachochezi wa migogoro ya vilabu
Ona hili mbumbumbu
 
Niliposema mara mbili JF kuwa hakuna mwana Yanga SC wa kushindana na AMRI ya Serikali ya CCM hamkunielewa au?
Vipi ikatokea wakacheza halafu timu yako ya simba ikafungwa! Wewe na hao wenzako mnaojipa moyo, mtaficha wapi sura zenu?
 
Ukichimama nchale.!

Ukikimbia nchale....!

Ukileta timu...Huna msimamo, Ukigoma points bye bye..!

Mwaka wa tabu huu..!
 
Back
Top Bottom