====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Nani kwakwambia huko intern hakuna upendeleo na kupita kwa mchongo?Huwa kuna sheria daktari akimaliza chuo anaenda intern (hospitali yeyote ya rufaa ya mkoa au ya taifa) huko atakaa mwaka mzima siku 365 kila siku ataamkia wodini kutibu wagonjwa chini ya usimamizi wa dakyari bingwa
Akimaliza hapo anapimwa kwa pepa na kitabu maalum cha ripoti ya maendeleo yake kwenye kila idara aliyopita kwa vitendo kinakuwepo mfano kitengo cha mifupa marks 80 labour 60 n.k ikitokea kafeli atatakiwa kurudia kwa gharama zake
Akifaulu ndio anakidhi vigezo vya kupiga pepa la leseni akitoboa ndio anapata leseni
Sasa mtu kafanya yote hayo uje umuite shule ya gakanos huko umfanyie interview ya makaratasi ya kazi gani sasa?
Si afadhali hata ingekuwa practical labda umpe mgonjwa amtibu umpime kwa mtindo huo hapo inge make sense mkuu
Tatizo wengi humu hawaelewi mchakato ulivyo pia wana roho ya kwanini wale na sio huyu
Pole mwalimu usilie ndo ukubwa huoKuna kada tulikua tumezoea kitonga hadi raha, siku nikiambiwa nifanyiwe intavyuu nitaliaaa nitaliaaa nitagalagala chini mimi....
Mi ni afandePole mwalimu usilie ndo ukubwa huo
Unamaanisha watoto/Wajukuu zetu? au una maanisha utazaliwa mara ya pili?[emoji23][emoji23][emoji23]Sema in our next life, tusi sahau kuomba kuzaliwa kwenye familia zenye surname nzito.
Interview ni muhimu na zaidi ni kupima uelewa wa jumla mfano nje ya nchi hata mtu akiitaji kusomea fani flani anapiga usaili kwanza . Hivyo tusione ajabuJust imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Acha ujuajiHuko intern ndiyo wataelewa? Yaani mtu ashindwe ku master alichofundishwa miaka 5 aje kufanya hivyo kwenye intern ya mwaka mmoja?
Kusoma kwa kukariri ili tu afaulu mtihani ndiyo mtindo wa wanafunzi wengi wa kibongo badala ya kuelewa. Sasa mtu anayesoma kwa kukariri atakariri vingapi?
Namaanisha Nita zaliwa Mara ya 2Unamaanisha watoto/Wajukuu zetu? au una maanisha utazaliwa mara ya pili?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni watoto/wajukuu basi hilo lipo mikononi mwako, watengenezee jina/njia wasije kupitia magumu kama yalivyo sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namaanisha Nita zaliwa Mara ya 2
Trust me or not, nime ishi maisha haya kabla.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una ndoto nzuri sana
Sio mbaya, ila tujitahidi watoto wetu wasije kupita kwenye njia za dhiki tulizopitaTrust me or not, nime ishi maisha haya kabla.
Na ninapo enda tayari nilisha kuwa huko, so nahitimisha tu
Umeongea kwanza kwa kutoelewa yaani umesoma kujibu Ila sio kuelewa,mtu akavuka kote huko unamuita kilaza, mie sio daktari Ila najua mziki wake,elewa kwanza ni tz tu md haheshimiwi huko Kenya anakula 18M tzs monthly,huko Kanada wanakula zaidi ya 50M tzs.Sasa kama wewe MD uko timamu kichwani na una leseni mara PhD haya inakuaje unaogopa usaili kama wewe sio kilaza umepata cheti kwa kusomea mitihani
Wengine hatu pendi watotoSio mbaya, ila tujitahidi watoto wetu wasije kupita kwenye njia za dhiki tulizopita
Eti Kenya analipwa 18TZS? Hahaha...U
Umeongea kwanza kwa kutoelewa yaani umesoma kujibu Ila sio kuelewa,mtu akavuka kote huko unamuita kilaza, mie sio daktari Ila najua mziki wake,elewa kwanza ni tz tu md haheshimiwi huko Kenya anakula 18M tzs monthly,huko Kanada wanakula zaidi ya 50M tzs.
Huwezi linganisha daktari na ujinga mwingine,
Basi kama TZ hawalipwi ivyo huoni kua ni ishara kwamba ni wakawaida tu hao.U
Umeongea kwanza kwa kutoelewa yaani umesoma kujibu Ila sio kuelewa,mtu akavuka kote huko unamuita kilaza, mie sio daktari Ila najua mziki wake,elewa kwanza ni tz tu md haheshimiwi huko Kenya anakula 18M tzs monthly,huko Kanada wanakula zaidi ya 50M tzs.
Huwezi linganisha daktari na ujinga mwingine,
Africans value more politicians than professional,hivi huna aibu kusema kuwa madaktari ni WA kawaida kweli watu wanaoweza fanya operation mkeo akazaa salama na mtt akawa hai,Basi kama TZ hawalipwi ivyo huoni kua ni ishara kwamba ni wakawaida tu hao.