Madaktari wameyapitia hayo yote ndio maana wanapewa leseni na kula kula kiapo cha Hippocratic.Mkuu a Doctor is a Healer kuna jinsi ya kumwambia mgonjwa ili a feel good huwezi kuja unamwambia mgonjwa ana ukimwi au cancer au ana siku tatu za kuishi huku unavuta fegi na kuchekelea au unatangazia watu bar kwamba fulani ana gono....
Ngoja nikupe Qoute from Person of Interest huenda ikakuonyesha what I mean....
Sameen Shaw: I watch the others. I watch the fear creep into them. I watch them make mistakes, and you think these feelings that I'm lacking make them better? You'd really rather have one of them working on you instead of me?
QMI Manager: Yes. Because if If the only thing motivating you is technical mastery, when one of your patients needs you the most, then this job just might start to bore you. That's the difference between fixing and healing. You have a brilliant mind, Sameen. And you're very gifted. But you'll never be a doctor.
Naona umegeuka mpiga ramli kujua nimesoma mpaka la ngapi kupitia internet character called Wyatt MathewsonBoss iko wazi uliishia la saba B tena ya chini ya mwembe😅
Hujui chochote, Shirika la Afya duniani (WHO) linapendekeza katika nchi uwiano wa daktari kwa mgonjwa uwe ni daktari 1 kwa wagonjwa 1,000 wakati Tanzania uwiano ni daktari 1 kwa wagonjwa 20,000.Huna unachojua ,Madokta ni wengi sana sikuhizi
Na hicho kiapo kinasema personality does not matter... ? By the way kabla hatujafika mbali what is personality...; kwa huyu mdau aliyeleta huu uzi anaonekana kwamba ni hubris..., which is can be very dangerous for a healer....Madaktari wameyapitia hayo yote ndio maana wanapewa leseni na kula kula kiapo cha Hippocratic.
Wewe angalau unaweza kuwa na theory yenye mashiko na kueleweka.Mimi naona sababu kubwa kuwafanyia watu wa afya hasahasa MDs ni kutaka kujua walio na utayari wa kazi. Wengi wamekuwa wakipangiwa kazi chini ya TAMISEMI sehemu za mbali na wamekuwa hawaendi. Hii husababisha serikali kuingia kwenye database na kuajiri madaktari wengine tena
Ukiona mtu katumia gharama zake kwenda kufanya interview labda Mtwara huko au Kigoma ujue huyo yupo tayari kufanya kazi sehemu husika
Kwahiyo kikubwa hapo ni kupima utayari wa wahusika. Na ndivyo nilivyo tonywa na kiongozi mmoja wa utumishi
😀😃😁😂😂😂😀😃😄😁 Mkuu hawa vijana wa hovyo sanaumepiga kwenye mshono😂😂😂😂
Kama unataka kujua background ya mtu katika masuala ya usalama mwambie akuletee police report sio hizo interviews za kupoteza muda.Unaongea wewe,mimi ndio mwenye hospitali,unataka nifate utakacho wewe?
Kwahiyo A ndio amri ya kutuamrisha wenye taasisi kwa lazima tukuajiri?
Una A lakini jambazi na evil,nikuajiri kwenye taasisi yangu kivipi yaani?
Mali yangu,unataka uje kuniletea ulazima eti ulipata A?
Fungua taasisi yako utafanya utakalo,who cares!
Ni huzuni kwa kweli.Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
Absolutelysio kwel kibongo bongo concept ya interview n sababu wahitim wamekuwa wengi.
Umeongea vizuri lakini.......Sasa mkuu kama nimekuita kwenye shughuli yangu ambayo nina vigezo tofauti (labda kwangu ukarimu na personality matters kuliko vyeti) sasa takupima vipi bila kukufanyia interview....
Kama vipi unaona wewe ni gwiji huwezi kufanya interview basi nenda kule pasipo interview au fungua shughuli yako ambayo utajiajiri kwa kutokujipa interview...
When in Rome do as Romans....
Ila that said nahamia pia kwa upande wa Serikali..., Ni upuuzi usio na kifani kuwa na madaktari mitaani hawana kazi wakati kuna uhitaji wa wauguzi (wauguzi hawatoshi) hizo pesa mnazonunulia V8 bora mpande daladala na kuajiri wauguzi...
Hivi mkuu unajisikia unachoongea kweli?Kama unataka kujua background ya mtu katika masuala ya usalama mwambie akuletee police report sio hizo interviews za kupoteza muda.
Halafu kuwa na Hospitali yako haimaanishi kwamba unaweza kuwa unaindesha katika mazingira fair na yenye mashiko, unaweza kuwa ni mjinga unayemiliki Hospitali au ni Hospitali iliyopo katika mazingira ya hovyo yanayoku favour mfano nchi inayozalisha idadi kubwa ya madaktari kuliko uwezo wake wa kuajiri kwa hiyo na wewe unanufaika na huo uhovyo.