Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
kama unajiamini na umetoboa kooote huko, kwanini uogope kuulizwa Tell us about yourself?
Nini kinatisha kwenye interview?
Nini kinatisha kwenye interview?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakili muhuri wake anaousotea Law School of Tanzania kwa mbinde naye aajiriwe bila interview kwakuwa ana leseni ya uwakili kutoka kwa Jaji Mkuu?
Mhasibu naye kwakuwa ana leseni kutoka NBAA naye aajiriwe pasipo interview?
Hivi what's so special kwa daktari? Hizo leseni zinazotolewa kwa mchongo ndiyo zimfanye mtu asipitie usaili?
Tena walitakiwa wapigwe oral,written pamoja na practical ili kupata wale competent hasa.

Mojawapo ya mambo yatakayakufanya upate kazi za uwakili ni uwezo wako wa kuonyesha mbwembwe, mikogo, makeke na kuinfluence hisia za jaji, sio ujuzi wa darasani tu hivyo ni sahihi ukafanyiwa usahili waweze kukupima hapo. Kwenye udaktari hayo hayahitajiki, ujuzi wako wa darasani ndilo jambo muhimu.Wakili muhuri wake anaousotea Law School of Tanzania kwa mbinde naye aajiriwe bila interview kwakuwa ana leseni ya uwakili kutoka kwa Jaji Mkuu?
Mhasibu naye kwakuwa ana leseni kutoka NBAA naye aajiriwe pasipo interview?
Hivi what's so special kwa daktari? Hizo leseni zinazotolewa kwa mchongo ndiyo zimfanye mtu asipitie usaili?
Tena walitakiwa wapigwe oral,written pamoja na practical ili kupata wale competent hasa.
Mtu ambaye kazi zake zinahusu kuletwa watu wamepata ajali wanatakiwa wakimbizwe na wahaudumiwe ICU "tell us about yourself" ina msaada gani kwake?? As long anajua kuipanga mifupa kwa ustadi ikae sawa hiyo inatosha hata kama hawezi kuongea kabisa.kama unajiamini na umetoboa kooote huko, kwanini uogope kuulizwa Tell us about yourself?
Nini kinatisha kwenye interview?
Ujuzi wa darasani wa kukariri vitini na notes? Wewe ulishawahi kuwa mwanafunzi kweli?Mojawapo ya mambo yatakayakufanya upate kazi za uwakili ni uwezo wako wa kuonyesha mbwembwe, mikogo, makeke na kuinfluence hisia za jaji, sio ujuzi wa darasani tu hivyo ni sahihi ukafanyiwa usahili waweze kukupima hapo. Kwenye udaktari hayo hayahitajiki, ujuzi wako wa darasani ndilo jambo muhimu.
Mhasibu anaweza kuwa na leseni ila hawezi kufunga hesabu vizuri, hawezi kuishauri kampuni kuchukua tahadhari katika mambo muhimu, hawezi kuwasilisha hesabu zake katika management, kamati au bodi n.k
Daktari haihitajiki kufanya haya yote lakini pia mtu yeyote akiwa na leseni ya udaktari iliyo hai huyo anajua kutibu, hawezi kuwa kilaza katika matibabu, kuna wahasibu wengi wenye CPA ninaowajua ambao ni vilaza wa kutupwa, ndio maana kwenye makampuni au mashirika mengi uwepo wa hati chafu ni jambo la kawaida ila Daktari mmoja akikosea akasahau mkasi tumboni au akapasua kichwa badala ya mguu ni skendo ya kutikisa nchi.
Kukariri vitini wala sio tatizo, ni njia mojawapo ya kuhifadhi knowledge kichwani, ubongo ni kama misuli unavyoukaririsha zaidi ndivyo unavyojenga uwezo mkubwa wa kumbukumbu. Pia sijawahi kuona daktari kilaza katika matibabu.Ujuzi wa darasani wa kukariri vitini na notes? Wewe ulishawahi kuwa mwanafunzi kweli?
Nenda pale MUHAS kwenye hostel zao Masaki ama pale Kinondoni uone vijana wanavyomeza madesa ya darasani lakini mtoe nje ya kile alichomezeshwa uone anavyopoteana.
Interview ni muhimu ili kuona kile ulichosoma darasani ulikielewa au ulikariri ili tu ufaulu mitihani?
Wapo madaktari vilaz,a kupindukia lakini ukiona vyeti vyao ni A tupu.
Serikali imewashtukia sasahivi haiajiri kwa kuangalia vyeti na GPA maana wanaingia mkenge. Ni mwendo wa Interview hadi watu wapoteane.
Nenda hostel zao nilizokutajia utashangaa huyu ndiye anatarajia kwenda kuhudumia mgonjwa kweli?Kukariri vitini wala sio tatizo, ni njia mojawapo ya kuhifadhi knowledge kichwani, ubongo ni kama misuli unavyoukaririsha zaidi ndivyo unavyojenga uwezo mkubwa wa kumbukumbu. Pia sijawahi kuona daktari kilaza katika matibabu.
Shauri yako ila ndio ivyo utafanya usaili kama hutaki fungua hospital yako.Tabia mbovu kama zipi??
Ubinadamu unaupimaje kwenye hizo interview ?
Tanzania bado hatujafikia kiwango cha kuajiri madaktari katika hospitali za umma kwa sababu ya customer care.
Sasa kama wewe MD uko timamu kichwani na una leseni mara PhD haya inakuaje unaogopa usaili kama wewe sio kilaza umepata cheti kwa kusomea mitihaniUsilinganishe takataka hizo na fani ya udaktari wewe. Sio kitonga jaribu kusoma MD uone. Why ni daktari pekee akimaliza degree yake ya kwanza anapewa hadhi ya PhD or MD?
Hata usome PhD bado hulingani na iyo MD ya dokta bana. Wote tumepita shule tunajua mziki wake jamani,acha tuwaheshimu madaktari
Ha ha ha na bado kumbe mlikua mnapita kirahisi mnaona raha tu sasa usaili lazima tena tutapendekeza usaili ukazwe kwasababu nyie si mko smart au sio 🤣Sasa kam Ajira mpk mitihani , necta, vyuo na college mitihani ilikuwa ya kazi gani , ivi MD akakae afanye mitihan kweli !! Watu wajinga sana hii nchi
Wanasheria wameshafuta masuala ya law school.Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
Kaa kwa kutulia, interview haichukui miaka saba.Mtu ambaye kazi zake zinahusu kuletwa watu wamepata ajali wanatakiwa wakimbizwe na wahaudumiwe ICU "tell us about yourself" ina msaada gani kwake?? As long anajua kuipanga mifupa kwa ustadi ikae sawa hiyo inatosha hata kama hawezi kuongea kabisa.
Huwa kuna sheria daktari akimaliza chuo anaenda intern (hospitali yeyote ya rufaa ya mkoa au ya taifa) huko atakaa mwaka mzima siku 365 kila siku ataamkia wodini kutibu wagonjwa chini ya usimamizi wa dakyari bingwaUjuzi wa darasani wa kukariri vitini na notes? Wewe ulishawahi kuwa mwanafunzi kweli?
Nenda pale MUHAS kwenye hostel zao Masaki ama pale Kinondoni uone vijana wanavyomeza madesa ya darasani lakini mtoe nje ya kile alichomezeshwa uone anavyopoteana.
Interview ni muhimu ili kuona kile ulichosoma darasani ulikielewa au ulikariri ili tu ufaulu mitihani?
Wapo madaktari vilaz,a kupindukia lakini ukiona vyeti vyao ni A tupu.
Serikali imewashtukia sasahivi haiajiri kwa kuangalia vyeti na GPA maana wanaingia mkenge. Ni mwendo wa Interview hadi watu wapoteane.
Hao unawakuta hostel wakimaliza hspo huperekwa intern kwa gharama za serikaliNenda hostel zao nilizokutajia utashangaa huyu ndiye anatarajia kwenda kuhudumia mgonjwa kweli?
Vijana wanakariri ili tu wafaulu mitihani lakini baada ya hapo hakuna anachokikumbuka.
Mtu aliyetoka kusoma semester one na akafaulu kwa A lakini ikifika semester two ukimuuliza swali la somo alilofundishwa semester one na kufaulu kwa A hakumbuki chochote.
Sasa huyu ukimuajiri kwa kuangalia vyeti vyake unaingia chaka. Interview ndiyo itabaini udhaifu wake ulipo maana unapimwa hadi confidence, communication skills as well as customer care.
Yani daktari anapokea mshahara sawa na electrical technician mwenye diploma ??🤯🤯🤯 aisee nimejifunza kitu kipya leoJust imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano.
Kaaply Muhimbili University kapitia mchujo katoboa akaanza masomo ya udaktari.
Kasoma miaka mitano bila kudisco tena kwa mateso makubwa bila kula bata mpaka kamaliza chuo.
Kabla hajaingia intern kafanyishwa mtihani wa MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA katoboa kaanza interniship.
Kapiga intern kwa mwaka mmoja kisha kamaliza kisha kapigishwa pepa lingine la MCT katoboa.
Kasajiliwa na kutambulika kama MEDICAL DOCTOR na MCT.
Kijana huyu wa kitanzania aliyesoma kwa kujinyima na kujitesa tangu kidato cha kwanza leo hii anafanyishwa interview tena written interview sio prectical interview ili iweje?
Huyu kijana akikosa nafasi mnajua stress atakazopata mtaani na jamii inayomzunguka?
Hiyo michujo yote alopitia akipata ajira mnamlipa milioni moja na laki mbili ukitoa makato anabeba laki tisa bado mnampigisha interview ya nini sasa?
Hamuoni kama mnakatisha tamaa vijana waliopo shuleni na vyuoni?
Wadau
====================
UPDATES
Kwa taarifa nilizozipokea ni kwamba vijana wameitwq huko Galanos sekondali wakafanyiwe interview ya makaratasi
Hii nchi inashangaza sana
Huko intern ndiyo wataelewa? Yaani mtu ashindwe ku master alichofundishwa miaka 5 aje kufanya hivyo kwenye intern ya mwaka mmoja?Hao unawakuta hostel wakimaliza hspo huperekwa intern kwa gharama za serikali