Kumfukuza Malisa, CCM imepuliza ili Iwake, Hoja hujibiwa kwa Hoja , watu Sasa watazidi kuhoji kulikoni?

Akiwa nje ya CCM atapata nafasi nzuri ya kuendeleza hizo harakati zake.
 
iMkutano mkuu wa CCM ndo chombo cha mwisho cha maamuzi ndani ya CCM. Huyo kada kuanza kuhoji jambo lililopitishwa na mkutano mkuu ni usaliti na sio mwenzetu. Kufukuzwa ni halali yake.
Ukieleza ni "chombo cha mwisho kimaamuzi" ina maana maamuzi hutolewa baada ya organs nyingine kuanza na hoja na baadaye hiyo kamati kuihitimisha.Kinyume na hapo ni uhuni uliokomaa na kuota mvi.
 
Kikweli demokrasia ndani ya CCM hakuna, ukifuatilia hata uteuzi wa majuzi ni magumashi.
 
CCM ni kusanyiko la watu wajinga sn
 
hii ndiyo imeisha ukiisikia ten baada ya miezi mitatu uje unidai laki moja imeisha hiyoooo
 
CCM wameyakanyaga wanadhani kilA kitu ni ubabe "its only when a mosquito lands on your balls you will realize there are ways of solving problems without violence"
huyo hata hana ushawishi wa majority nani atamsikiliza akiwa nje ya uwanja? na akizidi kuleta za kuleta mbowe bado yupo mjuwe atamchachawangwe
 
Anakaribishwa CHADEMA

📣Peoples

📌📌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…