Kumfunga Simba bao 5 ni jambo ambalo haliwezekani na akili imekataa na kama ushindi ulikuwa halali bila kuhonga watu wetu basi nigongwe na gari nife

Washabikiwa Simba akili zenu sijui ziko wapi? Yan nyie ndio waamini uchawi, mkifungwa mnaaamini mmefanyiwa figisu. Yan tafrani ndio mnadharaulika kila siku
 
Timu mbovu nyie matakataka fc 🤣🤣🤣
 
kwamba Simba ni Barcelona sio? Hao Brazil, Man utd wenyewe washachezea 7, sembuse hii Simba mbovu! Nilitegemea goli walau 10 jana
 
Arsenal amewahi pigwa 8 Old Trafford, Madrid aliwahi kupigwa 6 Bernabeu.
 
Mkuu mwenye jina linalofanana na dawa ya tumbo sijamuona hapa tangu jana asubuhi. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....

Mkuu popote ulipo jitokeze angalau uweke neno lako hapa.
 
NILIWAAMBIA MJIANDAE KISAIKOLOJIA.......

mtatafuta kila mchawi lakini usajili simba wanazingua sana....

 
Toka asubuhi kuna wachambuzi wanadai kuna dalili ya goli nyingi leo. Farhan na yule mzee wa jambia walisema hili.

Ni kama kuna mambo ya ndani waliyajua.
Ukiangalia Simba wanavyocheza na yanga, lazima ujue kwamba goli nyingi zitakuwepo,hasa Simba akitanguliwa, sababu alienda kutafuta goli,nyuma panabaki wazi sana
 
Unajitafutia maradhi bure. Mpira umeisha tumefungwa tufanye marejeo tumekosea wapi tusirudie makosa tusonge mbele. Hakuna namna unaweza reverse matokeo.
 
Ukiangalia Simba wanavyocheza na yanga, lazima ujue kwamba goli nyingi zitakuwepo,hasa Simba akitanguliwa, sababu alienda kutafuta goli,nyuma panabaki wazi sana
Walienda kukimbiza mwizi wakasahau mlango wazi
 
Mngemsikiliza hata Mwina seif Kaduguda Simba wa Yuda 😀😀
Your browser is not able to display this video.
 
Ugongwe na gari? Akili za watu zilivyo vurugika utagongwa ngozi we jitoe akili
 
Mwiko wa Yanga utawsumbua sana watani zetu
 
Toka asubuhi kuna wachambuzi wanadai kuna dalili ya goli nyingi leo. Farhan na yule mzee wa jambia walisema hili.

Ni kama kuna mambo ya ndani waliyajua.
Tatizo ni timu kuvuja hata ikicheza na timu ndogo ndogo, power dynamo nusu ikutoe mashindanoni, katika michezo iliyocheza imeambulia clean sheet mbili tu halafu unaenda kukutana na Yanga iliyokuwa inaongoza kwa kufunga magoli mengi ligi kuu. Mmefumbazika na zile sare sare za Al Ahly mkajiona mko level ya juu sana lakini hamkutaka kufikiria kuwa Al Ahly wangekuwa makini kwa makosa yanayofanyika hali ingekuaje. Al Ahly hawakuweza tu kuzitumia nafasi walizotengeneza tu basi.
 
Toka asubuhi kuna wachambuzi wanadai kuna dalili ya goli nyingi leo. Farhan na yule mzee wa jambia walisema hili.

Ni kama kuna mambo ya ndani waliyajua.
Hakuna kikosi cha kuuifunga yanga pale. Mlichukua ngap ya jamii lakin cha moto mlikiona, mana ile siku mlifunuliwa mbili za chapchap. Uchawi ukazigeuza kuwa ofside mkapona.
 
Yanga huwa wanacheza na timu mbovu mmekuwa mnasema wenyewe
 
yanga kubwa sana,yaaani inaweza honga timu yoyote mradi tu wapate kushinda!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…