Mbona kama kejeliPolepole ni mzuri kwenye kufundisha watu hususani kwenye maeneo ya uingozi na sheria,na spika amethibitisha baada ya kufuatilia kipindi chake cha shule ya uongozi.kwa hiyo spika ameona ampeleka huko akawafundishe wabunge
Ufipa inahitaji reforms.Hivi Nchi inahitaji reforms!
Kumbe wewe mbw bado upo nilifikiri ulishakufa na Uviko 19? Hahahahaha...Support, hapa umeongea point sana tena sana. Chato kwao ilikuwa MUNGU, hivyo kusafisha kaburi la MUNGU wao ni sawa kabisa
Tatizo vidampa mnaisahau nafasi yenu hapa nchini, Polepole hata akihamishwa idara moja kwenda nyingine bado ataendela kuwa kwenye system ya kukuongoza wewe kwa namna yoyote ile, tofauti na wewe ambae mpaka unakufa utakuwa unasubiria kuamriwa uishi namna gani kwenye hii nchi.Ilitakiwa avuliwe hata huo ubunge wenyewe halafu wangempa kazi ya kulinda na kusafisha kaburi la hayati kule Chato.
Eeeeeeh kama ulikuwepoWa kwanza Sabaya
Corona nayo ni magonjwa mtambuka?Ufipa inahitaji reforms.
Labda akuongoze na ndugu zako.Tatizo vidampa mnaisahau nafasi yenu hapa nchini, Polepole hata akihamishwa idara moja kwenda nyingine bado ataendela kuwa kwenye system ya kukuongoza wewe kwa namna yoyote ile, tofauti na wewe ambae mpaka unakufa utakuwa unasubiria kuamriwa uishi namna gani kwenye hii nchi.
Sioni sababu ya masikini yeyote kama wewe kushangilia hapa.
Unajua zamani jf ilijulikana kwa watu wasomi na wenye hoja chanya sana ila ss du wamejaa waropokaji mpka kero vi simu janja vya infinix ndio vimefanya kujaaa na waropokaji hovyoPunguza chuki za kijinga kima wewe! Ukiona huoni cha kuchangia/kuleta hoja piga kimya!.Jf sikuizi imekua na watu wajinga wajinga sana!
Mzee wa veeti Acha aisome namba hakujua kuwa madarak ni ya muda jamaa alivimba sana enz hzKuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .
Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Mimi hata wangemfukuza kwangu ni mwerekeMzee wa veeti Acha aisome namba hakujua kuwa madarak ni ya muda jamaa alivimba sana enz hz
Kama unaona hapakufai basi hamia ulikozoea fbUnajua zamani jf ilijulikana kwa watu wasomi na wenye hoja chanya sana ila ss du wamejaa waropokaji mpka kero vi simu janja vya infinix ndio vimefanya kujaaa na waropokaji hovyo
ChukiIlitakiwa avuliwe hata huo ubunge wenyewe halafu wangempa kazi ya kulinda na kusafisha kaburi la hayati kule Chato.
Ukiona anaye mtetea ujue ni sukuma gangLabda akuongoze na ndugu zako.
Pole mfiwa.Chuki
Nimetia mafuta ya taa kwenye shimo la nyoka sasa wanakimbizana😂😂😂.Ukiona anaye mtetea ujue ni sukuma gang
Subutu akipinga Arv tutamzika sikuhiyohiyoAmeanza kupinga chanjo ya malaria lakini hajawahi kusikika kupinga matumizi ya ARV na kushauri watu watumie tiba asili.
Na wengi hapo watatoka wameshajivua ngozi maana mafuta ya taa haya muwachi nyoka salamaNimetia mafuta ya taa kwenye shimo la nyoka sasa wanakimbizana[emoji23][emoji23][emoji23].
Wacha bhaaanaaa yaani jamaa ni muumini wa hiyo kitu?[emoji23][emoji23][emoji23]Subutu akipinga Arv tutamzika sikuhiyohiyo
Wafiwa wana hasira vibaya sana utadhani walikubaliana na muumba kama jamaa yao aishi milelePole mfiwa.