Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Polepole ni mzuri kwenye kufundisha watu hususani kwenye maeneo ya uingozi na sheria,na spika amethibitisha baada ya kufuatilia kipindi chake cha shule ya uongozi.kwa hiyo spika ameona ampeleka huko akawafundishe wabunge
Mbona kama kejeli
 
Support, hapa umeongea point sana tena sana. Chato kwao ilikuwa MUNGU, hivyo kusafisha kaburi la MUNGU wao ni sawa kabisa
Kumbe wewe mbw bado upo nilifikiri ulishakufa na Uviko 19? Hahahahaha...
 
Ilitakiwa avuliwe hata huo ubunge wenyewe halafu wangempa kazi ya kulinda na kusafisha kaburi la hayati kule Chato.
Tatizo vidampa mnaisahau nafasi yenu hapa nchini, Polepole hata akihamishwa idara moja kwenda nyingine bado ataendela kuwa kwenye system ya kukuongoza wewe kwa namna yoyote ile, tofauti na wewe ambae mpaka unakufa utakuwa unasubiria kuamriwa uishi namna gani kwenye hii nchi.

Sioni sababu ya masikini yeyote kama wewe kushangilia hapa.
 
  • Thanks
Reactions: nao

Labda akuongoze na ndugu zako.
 
Punguza chuki za kijinga kima wewe! Ukiona huoni cha kuchangia/kuleta hoja piga kimya!.Jf sikuizi imekua na watu wajinga wajinga sana!
Unajua zamani jf ilijulikana kwa watu wasomi na wenye hoja chanya sana ila ss du wamejaa waropokaji mpka kero vi simu janja vya infinix ndio vimefanya kujaaa na waropokaji hovyo
 
Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .

Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Mzee wa veeti Acha aisome namba hakujua kuwa madarak ni ya muda jamaa alivimba sana enz hz
 
Unajua zamani jf ilijulikana kwa watu wasomi na wenye hoja chanya sana ila ss du wamejaa waropokaji mpka kero vi simu janja vya infinix ndio vimefanya kujaaa na waropokaji hovyo
Kama unaona hapakufai basi hamia ulikozoea fb
 
Back
Top Bottom