Nakuona ni mtu unayeangaika tu,Nikwambie tu unaweza kusema lolote lakini kwangu haibadili chochote kwamba yule mbwa mnaye jaribu kumsafisha hasafishiki alikuwa ni kiongozi wa ovyo kuwahi kutokea.Unasisitiza kuwa hatujuani lakini bado unasema una "uhakika" kuwa sina umri wa kukuita wewe kijana?
Basi sawa mzee mwenzangu.
Nimecheka mno [emoji38][emoji38][emoji38]Nitakachofanya ni kuharakisha kutupia udongo kwenye kaburi lako.
Ndiyo dawa yake huyo mwendawazimuNimecheka mno [emoji38][emoji38][emoji38]
Huyo ni msukumaHivi Polepole kabila gani? Yaani anatoka Mkoa gani huyu mzee
Ili akatoe darasa la uongozi kwinginekoMAMBO yamekuwa MAMBO Najiuliza LENGO HASA la haya MABADILIKO ya Wajumbe wa KAMATI ni Kuleta UFANISI wa KAMATI Au
KUMNG'OA POLEPOLE Uenyekiti wa KAMATI? Maana Kwa SIASA za TANGANYIKA linawezekana
Nashukuru kwa kulielewa hiloUmebaki kusema sema hovyo tu.
Uongozi upi huo?Ili akatoe darasa la uongozi kwingineko
Hii nchi kuna ambacho spika hawezi? Kama mbunge anahama chama chake na kwenda kingine au mbunge anafukuzwa uanachama wa chama chake na bado anabakia bungeni, kinyume kabisa na katiba ya nchi, na hafanywi chochote, atashindwa kweli hilo?Kwani Spika ana madaraka kuchagua mwenyekiti wa Kamati?
Mwenyekiti wa Kamati anachaguliwa na wajumbe siyo Job
Hao watu wanateseka sana sasa hivi na muda wote wamefura kwa hasira tungekuwa tunaonana humu sijui ingekuwaje!Waliosafiria nyota ya baba yao yamekumbwa na giza nene...... wote tuseme .. amina.
Na wewe hasira utadhani umeporwa demu/bwana??? Utajipa BP ya bure kwa hizi jokes za mtandaoni, take it easy [emoji12][emoji12][emoji12]Punguza chuki za kijinga kima wewe! Ukiona huoni cha kuchangia/kuleta hoja piga kimya!.Jf sikuizi imekua na watu wajinga wajinga sana!
Huwezi kuachiwa useme upuuzi na ujinga, baki nao huko chumbani na mkeo... Huku nje ukija unakula vitasa tuu kama huyo lofa Polepole...Kwani kukinzana mawazo imeshakuwa jinai? Maana miaka michache iliyopita wengi wenu walipigania uhuru wa mawazo. Watu waruhusiwe watoe mawazo yao. Mbona leo mmegeuka? Uhuru wa maoni ni pamoja na kukubali kusikia yale usiyopenda kusikia. Ni pamoja na wale wanaopinga chanjo kukubali kusikia wale wanaoikubali, na wale wanaoikubali kukubali kusikia wale wanaoipinga. Sio Jinai.
By the way wengi mnaopenda chanjo naona mtu akikataa mnasema mbona dawa so and so anatumia? Well ni maamuzi ya mtu. Kuna watu hawatumii dawa fulani na wanazipinga. Lakini zingine wanatumia. Bob Marley alikataa kukatwa mguu ili kuponya kansa. Lakini alikuwa anatumia Mic za wazungu na magitaa yao kuimba na kupiga muziki.
Kila mtu aachwe aseme anachokiamini. Nje ya hapo ni udikteta tu!
Hao ni kwamba mwendo wameumaliza duniani.Waliosafiria nyota ya baba yao yamekumbwa na giza nene...... wote tuseme .. amina.
Amina Amina kwa sasa wanatafutana uchawi maana sifa sasa imebakia stori.Waliosafiria nyota ya baba yao yamekumbwa na giza nene...... wote tuseme .. amina.
Dr Bashiru amechagua kukaa kimya ili watu wamsahauHao ni kwamba mwendo wameumaliza duniani.
Asavali hata Dr Bashiru ana chembe ya busara ya kukaa kimya, kuliko huyu nguchiro sikoseli Polepole.
Wacha watoane macho na nasikia wengi wao wanaamini masangoma ili wabakie madarakani.CCM ukiwa mtu wa kutumia akili yako hata kama unayosema ni ujinga lazima washughulike na wewe. Nguvu ya kuhakikisha wanabaki madarakani sio kwa Chadema tu hata wao kwa wao wanadundana kinoma
Yawezekana, Spika ameona umuhimu ya shughuli kubwa wanachokifanya ndugu Polepole kwenye Shule ya SHULE ya Uongozi. Hivyo, ameona ampe nafasi zaidi ya kushughulikia shule yake hiyo.Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?