Nawe nenda msaidie Polepole......Chizi mwingine huyu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe nenda msaidie Polepole......Chizi mwingine huyu!
Siyo kuteuliwa bali ni VITI MAALUM.Mwenyewe anajiita mbunge wa taifa badala ya Mbunge wa kuteuliwa.
Kwani kukinzana mawazo imeshakuwa jinai? Maana miaka michache iliyopita wengi wenu walipigania uhuru wa mawazo. Watu waruhusiwe watoe mawazo yao. Mbona leo mmegeuka? Uhuru wa maoni ni pamoja na kukubali kusikia yale usiyopenda kusikia. Ni pamoja na wale wanaopinga chanjo kukubali kusikia wale wanaoikubali, na wale wanaoikubali kukubali kusikia wale wanaoipinga. Sio Jinai.Ameanza kupinga chanjo ya malaria lakini hajawahi kusikika kupinga matumizi ya ARV na kushauri watu watumie tiba asili.
Yule mzee mwenye umri tatanishi ambaye hukata mangoma ndani ya ikulu enzi zile za mwendazake? alijuwa Ikulu ni nyumbani sasa kwenye kamati za bunge hatoshiKuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .
Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Ni matokeo ya Taratibu kupinga chanjo ya UVIKO 19, hii kamati ndio yenye ushawishi wa moja kwa moja kwa wananchi sasa taratibu ameonekana ni hatari akiwa kwenye hiyo kamati kwani kwa kuipinga hiyo chanjo inaonekana ni kama anatumia hiyo kamati vibaya. Ndugai nae ni kama bendera fuata upepo.Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .
Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Tupo wengi tunaojutia kifo Cha JPM, kila msiba una wenyewe, na si dhambi kujutia kifo Cha mwamba wetu, kwani we hujawahi kufiwa?Kati ya watu wanao jutia kifo cha mwenda zake ni pamoja na Polepole
Nikuulize WeweTupo wengi tunaojutia kifo Cha JPM, kila msiba una wenyewe, na si dhambi kujutia kifo Cha mwamba wetu, kwani we hujawahi kufiwa?
Lengo kumng'oa UENYEKITI aisee CCM Kwa Roho mbayaKuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .
Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?
Mi naona humu ndani tuchague kamati ya magenious ili wewe uwe mwenyekiti waoKwani kukinzana mawazo imeshakuwa jinai? Maana miaka michache iliyopita wengi wenu walipigania uhuru wa mawazo. Watu waruhusiwe watoe mawazo yao. Mbona leo mmegeuka? Uhuru wa maoni ni pamoja na kukubali kusikia yale usiyopenda kusikia. Ni pamoja na wale wanaopinga chanjo kukubali kusikia wale wanaoikubali, na wale wanaoikubali kukubali kusikia wale wanaoipinga. Sio Jinai.
By the way wengi mnaopenda chanjo naona mtu akikataa mnasema mbona dawa so and so anatumia? Well ni maamuzi ya mtu. Kuna watu hawatumii dawa fulani na wanazipinga. Lakini zingine wanatumia. Bob Marley alikataa kukatwa mguu ili kuponya kansa. Lakini alikuwa anatumia Mic za wazungu na magitaa yao kuimba na kupiga muziki.
Kila mtu aachwe aseme anachokiamini. Nje ya hapo ni udikteta tu!
Hilo linawezekanaLkn Job anakuwa na ushawishi mkubwa kwenye huo uchaguzi
Na ndiyo lilichukua nafasi kubwa kwenye hayo maamuziHilo linawezekana
Anavuna alichopanda na hapo badoLengo kumng'oa UENYEKITI aisee CCM Kwa Roho mbaya
Kati ya Ndugai na Polepole tupo anastahili kuondolewa kwenye nafasi aliopo( Ndugai alishadadia CAG kuondolewa baadae anasikika akisema Raid alishauriwa vibaya, Wakati Wabunge wa Chadema walipogoma kuingia bungeni kisa korona(2020) Ndugai alisikika akiwabeza! Polepole anasimamia like anachokiaminiIlitakiwa avuliwe hata huo ubunge wenyewe halafu wangempa kazi ya akulinda na kusafisha kaburi la hayati kule Chato.
Sina ujiniazi wowote. Ni kutumia akili za kawaida tu ambazo kila mmoja anazo!Mi naona humu ndani tuchague kamati ya magenious ili wewe uwe mwenyekiti wao
Kiukweli watu wanapigania Uhuru wa mawazo kwa maslahi yao, si kwa maslahi ya watu wote
Siyo ubunge heri wangemtengua kiunoHuyu wangemtengua hata ubunge hana faida yoyote.
Wa kwanza SabayaKati ya watu wanao jutia kifo cha mwenda zake ni pamoja na Polepole