Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

Ilitakiwa avuliwe hata huo ubunge wenyewe halafu wangempa kazi ya kulinda na kusafisha kaburi la hayati kule Chato.
Kwa roho yako sidhani hata kama hata mama yako unampenda
 
Polepole maneno yalikuwa meneno yalikuwa mengi sana
Polepole anajua ukweli! Team yote inatakiwa itoke ya mwenda zake, hao akina na Chamliho,kalemani na wote waliokuwa karibu inatakiwa watoke ila saizi kale kakikundi kamejadili kakaona ili kupoza upepo tuwaweke kwenye kamati unafiki tu! Itoeni timu yote ya mwendazake maana ndo lengo watoke wote hao bado ila nawahakikishia Mungu atawajibu kwa mapigo saba!
 
Huwezi kuachiwa useme upuuzi na ujinga, baki nao huko chumbani na mkeo... Huku nje ukija unakula vitasa tuu kama huyo lofa Polepole...
Sawa. Ila siku akishika hatamu anayeona unachosema au kuwaza ni upuuzi usianze kulia lia!
Msumeno hukata pande mbili!
 
Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na serikali za mitaa na kupelekwa Kamati ya Sheria ndogo .

Swali ni hili , Mabadiliko haya yamelenga nini ?

Naomba kujua wewe mkuuu una kazi kweli. Kapime afya. Ukikaa kimya itakuwaje.
 
SSa
Yanalenga kuboresha utendaji katika kamati. Pia Wahe. Wabunge, mtakumbuka kwamba Mh. Polepole ni mzoefu katika masuala ya sera na kutunga Sheria, uzoefu alioupata katika Tume ya Katiba, na pia ni mwalimu mzuri tu eeehsasa uzoefu huo ukatusaidie huko kwenye by-laws
Safi sana mkuu mtoa mada mke wa mbowe katoa kishabiki akitegemea negative ideas
 
Back
Top Bottom