kumhusisha diamond kwa ajali ya Darasa ni upunguwani

Mbona Povu tena.

Acha maneno weka MUZIKI......
 
Ujinga, ujinga, Ujinga wa kitanzania
 
Halafu nilichogundua watu wanapenda mipasho ndio maana ule wimbo ukapendwa sana
na cha kuongezea umependwa baada ya kuhusisha elements flani hivi zinazomgusa diamond kwa namna moja au nyengine,maana huo ndo mgongo wao wa kutokea kwa sasa....Mungu aendelee kumpa umri mrefu diamond ili azidi kuwanufaisha watu wengine kupitia uwepo wake.
 
Kwani hao si haohao wenye kulalamikia serikali kwa kila jambo na kuombeana mabaya kwa sababu ya mambo ya kisiasa,sasa kina washangaza nini Leo kumtuhumu Diamond kwa hiyo ajali?
 
Kila kitu domo, mnampa kiki bila kujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa kuandika lyrics za huu wimbo,inaonekana kiasi gani wimbo umekubamba
 
You are one who bring it up! Mpaka unaanzisha huu uzi hukuwaza kuwa ndio unazidi kusambaza habari ambazo unajua ni za uongo?? Me ni shabiki wa dai sikujua mpaka nilivyosoma hapa.
 
Amen RA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…