Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule wimbo wa kawaida sana cheki ngoma kama sikati tamaa bado haijafika viewers 50k , lkn hii INA 1.9mHalafu nilichogundua watu wanapenda mipasho ndio maana ule wimbo ukapendwa sana
Dalasa ndo nani tena na wewe!?Kwani diamond ndo alikuwa dereva wa dalasa??
na cha kuongezea umependwa baada ya kuhusisha elements flani hivi zinazomgusa diamond kwa namna moja au nyengine,maana huo ndo mgongo wao wa kutokea kwa sasa....Mungu aendelee kumpa umri mrefu diamond ili azidi kuwanufaisha watu wengine kupitia uwepo wake.Halafu nilichogundua watu wanapenda mipasho ndio maana ule wimbo ukapendwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dalasa ndo nani tena na wewe!?
Unasemaje wewe?Bila shaka ukiwachunguza sana utakuta ni BAVICHA hao, wanatumia vichwa kufuga nywele na kuendeshwa na hisia.
Wanaamini sana uchawi.
Asante kwa kuandika lyrics za huu wimbo,inaonekana kiasi gani wimbo umekubambamziki mzima umejaa vijembe
mwanzo mwisho
..
halafu sasa anachokiimba na yeye pia kinamkuta..
kashaanza bla bla kibao kwamba ajali sio ya kawaida!! halafu hajioni kwamba kaota mapembe watu wamemwongezea mkia!!
anasema hana maneno ya kwenye khanga wakatimziki wote umejaa vijembe
Amen RABaada a kupatikana kwa taarifa kuwa darasa amepata ajali akiwa katika moja safari zake, asilimia kubwa(si kubwa sana lakini inavuka nusu yao) wamemhusisha diamond na tukio la ajali daresa.
Hivi ajali yaa msanii ni ushirikina?
Kuna wasanii wangapi waliopoteza maisha yo kwa ajali...kwa nini ya darasa ihusihwe na ushirikina
Huenda labda wachangiaji wanafanya kwa utani,,kama ni hivyo tuangalie na vitu vya kutania basi,
na ni kwa nini awe diamond na sio mtu mwingine!
kwa nini msiseme kuwa ali kiba amehusika kwa kuwa darasa amechukua nafasi yake ya kupambanishwa na domo!
watanzania tuwe na staha na hakiba ya maneno
na nimeona kuwa ikitikea darasa akashuka kwa kushindwa kuweka
mipango yake vizuri, watu watamhusisha domo.
ushabiki usitutoe akili
tusiwajengee roho ya kuchukiana wao kwa wao
pole yao na tunashukuru wametoka wazima.