Kumi bora ya maeneo yaliyowahi kuogopeka Dar kwa uhalifu, uhuni na tabia za kishenzi

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k.

2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji, uporaji lakini pia ushenzi.

3. Mwananyamala kisiwani kwa kopa.

4. Mburahati madoto hadi festini.

5. Keko magurumbasi mpaka Mwanga.

6. Kigogo.

7. Tandika.

8. Temeke Mikoroshini.

9.kariakoo mchikichini hadi jagwani

10.magomeni mapipa hadi mwembechai
 
Kuna tajiri mmoja hapo Kawe sasa hivi ni marehemu alikuwa mfanya kazi kwenye taasisi kubwa nchini alinunua magari meusi si chini ya kumi na kuwagawia aki na dada. Walikuwa wanaingia kwa shift anayegongwa anaondoka unaona gari lingine na kadada kengine kanaingia.
Hii nayo si ilikuwa tabia ya kishenzi?
 
Hahaha kabisaaa
 
1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k.

2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji, uporaji lakini pia ushenzi.

3. Mwananyamala kisiwani kwa kopa.

4. Mburahati madoto hadi festini.

5. Keko magurumbasi mpaka Mwanga.

6. Kigogo.

7. Tandika.

8. Temeke Mikoroshini.

9.kariakoo mchikichini hadi jagwani

10.magomeni mapipa hadi mwembechai
Kigamboni sijaiona?
 
Hyo manzese na tandale washenzi mpka kesho mwakajana kwenye ile njia ya kutoka manzese darajani kuelekea sweet corner walinibananisha pale vijana kama 30 wakiwa na visu, chupa na marungu wakaniweka mtu kati bingiri bangala wakanisukumiza mtaloni pale kwenye karib na msikiti wapuuzi wakanifokoa kiswaswadu changu nikawakomalia wakanipa lain tu ilikuwa mida ya saa4uck alaf watu wanacheza bao kama hamna kinachotokea pumbav...
 
Duu hayo maeneo nayasoma
 
Mashenzini huko hata bia yako bar unaporwa. Wacha niendelee kukaa hukuhuku, nikijisikia ku socialize, naenda kwa Sinde nakutana na GENTAMYCINE , nacheka weee narudi home, nalala.na amani zangu
 
Hyo manzese na tandale washenzi mpka kesho mwakajana kwenye ile njia ya kutoka manzese darajani kuelekea sweet corner walinibananisha pale vijana kama 30 wakiwa na visu, chupa na marungu wakaniweka mtu kati bingiri bangala wakanisukumiza mtaloni pale kwenye karib na msikiti wapuuzi wakanifokoa kiswaswadu changu nikawakomalia wakanipa lain tu ilikuwa mida ya saa4uck alaf watu wanacheza bao kama hamna kinachotokea pumbav...
Hiyo ndo Daslama.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaeza pigwa beto na kuvuliwa mpaka chupi halafu kuna mizee imekaa inakunywa kahawa hata haina time yaani utadhani hawakuoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtoa post hujielewiii hivii watoto wa mbagara Kingowe kipind hicho wakuitwa wamarekanii weusii yanii hawo panda Road wenu wa sasa hiviii wanawajuwa hawo mawarekanii weusii mbagara Kingowe mzinga yanii kipindii hicho usipo piga singelii wanamwagia mzikii maji au wanaondoka nao sio pw
 
Back
Top Bottom