Kumi bora ya vyama vya siasa vilivyofanya vizuri 2022

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.

1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
 
Iondoe CHADEMA kwenye list, hicho chama kinatakiwa kufutwa kabisa
 
Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.

1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Kakojoe ulale.
 
Siku nyingine usiihisishe CHADEMA na ujinga wako. Baadala utoe suluhisho la ugumu wa Maisha unaleta ujinga.
 
CCM inatakiwa iwekwe high table. Kwenye list unaidhalilisha. CDM India hapo
 
Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.

1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Hii ni kumi bora yangu...!
 
Relax mkuu huu utafiti wako mbona hujaweka methodology yake?,mfano uliwapigia simu watu 4000 kuulizia ubora wa vyama,umri wao, gender zao, elimu zao,na lini ulifanya utafiti huu au umeota usiku wa kuamkia leo na akaamua Kuja na uzi huu?,middle class wa kitanzania mnakatisha tamaa kabisa, unashindwa hata simple research kama hii ,halafu wewe ni 🎓 wa chuo kikuuu fulani!,UJINGA, UMASIKINI, MARADHI, na Binamu yao RUSHWA bado wametamalaki hapa nchini, common u can do better than this
 
Ndugu Nkanini mbona unashindwa kuelewa? Nimesema haya ni maoni yangu. Kuna haja gani ya research methodology kwenye maoni yangu? Stop complicating
 
Yeah yeah kumbe zuzu mmoja kaamua kujaza server hapa, and fair enough ni maoni yako but onyesha kuwa unatumia akili kutoa hayo personal opinions zake,I'm afraid mtoto wa grade 6 huku lingusenguse ana maoni yanayofikirisha kuliko haya,nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom