BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Michele kilo 1, 3200
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Yeah yeah kumbe zuzu mmoja kaamua kujaza server hapa, and fair enough ni maoni yako but onyesha kuwa unatumia akili kutoa hayo personal opinions zake,I'm afraid mtoto wa grade 6 huku lingusenguse ana maoni yanayofikirisha kuliko haya,nimekuelewa mkuu
Ni zuzu na nitaendelea kumwita zuzu, maoni kama haya ndio yanaifanya JF ya sasa iwe diluted,umekua challenged kidogo kuhusu alivyopata hiyo list na hawezi to defend it huyu ni delinquent JF member.
Mtu katoa maoni ...wewe umemuita "zuzu" mara atumie akili...
Why hamnaga uvumilivu na maoni ya wengine?....wewe ukitukanwa Kwa maoni na mtazamo wako unaona ni sawa? Why mnatumia nguvu nyingi kulazimisha mitazamo yenu Kwa kila mtu?
Ugumu wa maisha unatoka wapi wakati Mungu akuondolea Magufuli ambaye alikuwa kikwazo kwakoSiku nyingine usiihisishe CHADEMA na ujinga wako. Baadala utoe suluhisho la ugumu wa Maisha unaleta ujinga.
Ukilala na njaa lazima uote ndoto za kijinga kijinga tu kama hivi.Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Ndugu sio lazima maoni yangu yakufurahishe au yawe vile unataka wewe. Mimi ndo ninakuona punguani kwa kuja kunililia hapa kama vile kuna kitu nimekudhulumu. Pumbavu sana.Yeah yeah kumbe zuzu mmoja kaamua kujaza server hapa, and fair enough ni maoni yako but onyesha kuwa unatumia akili kutoa hayo personal opinions zake,I'm afraid mtoto wa grade 6 huku lingusenguse ana maoni yanayofikirisha kuliko haya,nimekuelewa mkuu
Nkanini hatuwezi wote kuwa na maoni yanayofanana. Ukitaka upate uhuru wa kutoa maoni kulingana na ibara ya 18 basi na wewe usichukie wenzako wanapotoa maoni yao ili mradi hajakutukana wala kukubunjia heshima. Kuniita mimi ZUZU nakuona tu kama mwanamke aliyesahau kumeza P2 za kuzuia mimba.Ni zuzu na nitaendelea kumwita zuzu, maoni kama haya ndio yanaifanya JF ya sasa iwe diluted,umekua challenged kidogo kuhusu alivyopata hiyo list na hawezi to defend it huyu ni delinquent JF member
Kwa kura za mtandaoni CHADEMA lazima mshinde. Naunga mkono ulilopendekeza lifanyike ili mjipe moyo. Kiuhalisia lazima CHADEMA isulubiwe na wazalendo kwenye sanduku la kura.Mtuwekee dokezo tupige kura Kama lililopita la kushindanisha magwiji wa siasa hapa JF. Tunataka tuwabatize watu hapa hapa wajuwe chadema sio mchezo. Likiwezekana Admn aliunganishe site zote mpaka afya. Kama mtu mmoja atakuwa na ID mbili au tatu liachwe tu.
Lengo liwe chadema imekufa au kipo hai.
Lima wa kwako.Michele kilo 1, 3200
Huku nilipo kg ni 3600/.Michele kilo 1, 3200
Watoe CDM hapo kwenye hiyo list. Labda uweke vigezo vya kupata huo ubora. List ya vyama bora CCM haiwezi kuwepo.Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
ccm ni wapumbavu a wafuas wao wamebaki kujifariji ila 2025 mtajua hamjui.
Bila kuwepo uwanja sawa wa kufanya siasa ni kazi bure !!Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Kila mwenye ajili akisoma tu heading, anajua lengo lako tu ni ku-discredit Chadema. Una kichefuchefu na Chadema wamekutia mimba?Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Yaani wewe huna AKILI hata kama Mimi ni ccm hapo 2, 3 zilikuwa nafasi za CHADEMA.Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Ni kweli kabisa. Sina akili za kipumbavu kama zako.Yaani wewe huna AKILI hata kama Mimi ni ccm hapo 2, 3 zilikuwa nafasi za CHADEMA.
qumanyokooHii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)