MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Relaxccm ni wapumbavu a wafuas wao wamebaki kujifariji ila 2025 mtajua hamjui.
Iondoe CHADEMA kwenye list, hicho chama kinatakiwa kufutwa kabisaHii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Kakojoe ulale.Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Suluhisho la ugumu wa maisha ni kuachana tu na haya maisha.Siku nyingine usiihisishe CHADEMA na ujinga wako. Baadala utoe suluhisho la ugumu wa Maisha unaleta ujinga.
Halafu wao ndo wa kwanza kulalamikia uhuru wa kutoa maoni kwamba unaminywa.Utaambulia matusi ..wakati ni maoni tu
Ktk lipi?ccm ni wapumbavu a wafuas wao wamebaki kujifariji ila 2025 mtajua hamjui.
Hii ni kumi bora yangu...!Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Relax mkuu huu utafiti wako mbona hujaweka methodology yake?,mfano uliwapigia simu watu 4000 kuulizia ubora wa vyama,umri wao, gender zao, elimu zao,na lini ulifanya utafiti huu au umeota usiku wa kuamkia leo na akaamua Kuja na uzi huu?,middle class wa kitanzania mnakatisha tamaa kabisa, unashindwa hata simple research kama hii ,halafu wewe ni 🎓 wa chuo kikuuu fulani!,UJINGA, UMASIKINI, MARADHI, na Binamu yao RUSHWA bado wametamalaki hapa nchini, common u can do better than thisHii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Hii ni kumi bora yangu...!Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania.
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. ACT Wazalendo.
3. Tanzania Labor Party (TLP)
4. Civic United Front (CUF)
5. NCCR Mageuzi
6. United Democratic Party (UDP)
7. Chama Cha Ustawi wa Jamii (CHAUSTA)
8. PPT Maendeleo
9. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
10. Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
Ndugu Nkanini mbona unashindwa kuelewa? Nimesema haya ni maoni yangu. Kuna haja gani ya research methodology kwenye maoni yangu? Stop complicatingRelax mkuu huu utafiti wako mbona hujaweka methodology yake?,mfano uliwapigia simu watu 4000 kuulizia ubora wa vyama,umri wao, gender zao, elimu zao,na lini ulifanya utafiti huu au umeota usiku wa kuamkia leo na akaamua Kuja na uzi huu?,middle class wa kitanzania mnakatisha tamaa kabisa, unashindwa hata simple research kama hii ,halafu wewe ni 🎓 wa chuo kikuuu fulani!,UJINGA, UMASIKINI, MARADHI, na Binamu yao RUSHWA bado wametamalaki hapa nchini, common u can do better than this
Babygirl, wipe your tears and say that again.NimeKutana na kilaza asubuhi yote hii
Yeah yeah kumbe zuzu mmoja kaamua kujaza server hapa, and fair enough ni maoni yako but onyesha kuwa unatumia akili kutoa hayo personal opinions zake,I'm afraid mtoto wa grade 6 huku lingusenguse ana maoni yanayofikirisha kuliko haya,nimekuelewa mkuuNdugu Nkanini mbona unashindwa kuelewa? Nimesema haya ni maoni yangu. Kuna haja gani ya research methodology kwenye maoni yangu? Stop complicating