Kumi bora ya waandishi mahiri wa hadithi za Kiswahili

Yule ni mtunzi au ni mkusanyaji wa makala mbalimbali na kuziweka ktk lugha ya kiswahili kwa mpangilio na mtiririko ulio tukuka?

Hapa tunazungumzia watunzi kasome kitabu cha ben r mtobwa
Kiitwacho malaika wa shetani au tutarudi na roho zetu afu ukasome stori za vipepeo weusi uone utofauti.
Umenikumbusha riwaya yangu ya kwanza kuisoma, MALAIKA WA SHETANI hii ni riwaya iliyosababisha niwe mlevi wa riwaya mpaka kesho. Japo tunakosa waandishi mahiri kama akina BEN MTOBWA.
 
Yule ni mtunzi au ni mkusanyaji wa makala mbalimbali na kuziweka ktk lugha ya kiswahili kwa mpangilio na mtiririko ulio tukuka?

Hapa tunazungumzia watunzi kasome kitabu cha ben r mtobwa
Kiitwacho malaika wa shetani au tutarudi na roho zetu afu ukasome stori za vipepeo weusi uone utofauti.
Vijana wa .com wenye ulemavu wa kufikiri watakuja kukupinga
 
The bold anajua kukusanya habari/taarifa/makala na kuziweka kwa mtiririko mzuri zikasomeka na kueleweka.
Kwenye utunzi kwa kweli simamisheni nishuke, sitaki chai.
Na kwakua vijana wengi skuhizi hawapendi kusoma vitabu na makala ili kuongeza elimu na uwezo wa kujua na kupambanua mambo..... ndiomaana wanaishia kumuita Bold mtunzi
 
...Hivi ile sijui ni riwaya ya VIPEPEO WEUSI nani Alikua mtunzi?, Samahani lakini!
 
Watanzania kwa ujumla ni wavivu kujisomea labda uwape falamu tena ya vita.
Nilisoma simulizi ya the bold moja inaitwa "vipepeo weusi", nilivutiwa kweli na hiyo title kuingia ndani sikumaliza hata aya mbili nikaanza kupiga miayo. Angejikita kwenye uandaaji wa makala angefika mbali kuliko utunzi.
 
Yule ni mtunzi au ni mkusanyaji wa makala mbalimbali na kuziweka ktk lugha ya kiswahili kwa mpangilio na mtiririko ulio tukuka?

Hapa tunazungumzia watunzi kasome kitabu cha ben r mtobwa
Kiitwacho malaika wa shetani au tutarudi na roho zetu afu ukasome stori za vipepeo weusi uone utofauti.
Ha ha ha mbingu na ardhi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom