Kumi bora ya waandishi mahiri wa hadithi za Kiswahili

Kuna kijana mmoja anaitwa KEVIN MPONDA jamaa yuko vizuri mnoi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hapa nataka kujua tu kitu kimoja,kwanini mwandishi ameamua kujipa lakabu ya "Mwana Balagha" ?
 
kwa kina mkuu wenj ndio wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
napataje kazi zako
 
Sawa

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Hauko serious, unamuweka Shigongo halafu unawaacha Musiba, Edwin Semzaba na Shafi Adam Shafi?
 
Nyemo Chilongani na George Iron Mosenya na hatari hawa vijana.
 
Orodhha yako umeiharibu kwa kuwaacha manguli kina Musiba na Faraji Katalambula. Umeiharibu zaidi kwa kumuweka Sigongo.
 
Nataka nijue y wengi shigongo hawamkubali? Kwangu mm ni mzuri sana
Wengi ni watoto wa juzi tu mkuu. Shigongo anaheshima yake katika tasnia hii.
Nakumbuka wakati ule baba alikuwa anapenda magazeti, akimaliza tu kusoma mimi nilikuwa nasoma hadithi za shigongo. Na vitabu vyake baadhi baba alitununulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…