Kumi bora ya waandishi mahiri wa hadithi za Kiswahili

huyu Mwamba anaitwa kevin mponda riwaya zake weka mbali na watoto..tafuta riwaya zake mojawapo yaan hata msosi utasahau siku hioo.list ya vitabu vyake hivi hapa..
1.Tai Kwenye Mzoga
2.Mtutu wa Bunduki
3.Harakati za Msituni
4.Vumbi la Mogadishu
5.Mapenzi Yamenilevya
6.Mifupa 206
7.Stranger in Kigali
8.Mpango Mahusiano
9.Ukinilazimisha nitafanya
 
Kuna mwandishi mzuri pia anaitwa Japhet Nyangoro Sudi ,vitabu vyake vingi nimevisoma ni vizuri sana mfano
1.Operesheni Panama
2.Operesheni Rwanda
3.Saa 72
4.Ndege tunduni
 
Wengi ni watoto wa juzi tu mkuu. Shigongo anaheshima yake katika tasnia hii.
Nakumbuka wakati ule baba alikuwa anapenda magazeti, akimaliza tu kusoma mimi nilikuwa nasoma hadithi za shigongo. Na vitabu vyake baadhi baba alitununulia.

Shigongo na Elvis Musiba nani wa leo?. Shigongo 1998, Musiba 1970s
 
😂😂😂😂😂Ukiwatoa hao wawili wa mwanzo wengine ni mabingwa wa kukopi hadithi/matukio ya riwaya za kiingereza.
 
1. Shafi Adam Shafi
2. Penina Mrama
3. Amandina Lihamba
4. Mathias E. Mnyampala
 
Shaluwa hatakuja kuwa mwandishi
 
Kuna mwandishi mzuri pia anaitwa Japhet Nyangoro Sudi ,vitabu vyake vingi nimevisoma ni vizuri sana mfano
1.Operesheni Panama
2.Operesheni Rwanda
3.Saa 72
4.Ndege tunduni
Soma waandishi wengi zaidi kama utavutiwa tena na huyu.

Wengi mnamjua sababu anajitangaza tu
 
Vipo kwenye softcopy?
 
Elvis Musiba a.k.a Wlly Gamba unamchukuliaje? Kwamba hagusi kwa Shigongo?

Hii ni dharau sana umemfanyia huyu mwamba
 
Hussein Tuwa..,.. umenikumbusha hichi kitabu....Mkimbizi....

Bonge moja la novel of all times......kweli Tuwa ni Bingwa wa taharuki kama anavyojiita....

Kila unaposoma.......unakuwa na hamu ya udadisi unajiuliza je nini kitafuata!?

Hapo ndipo unapokiona kiona kipaji halisi cha mtunzi......

"Go find the bastard.......at the rickshaw!"...... Hii code siyo ya nchi hii Mzee.
 
mzee kama una copy ya mkimbizi naomba nitumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…