MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Umeona wivu sio?Mleta thread pita huku....
Tena mkono wa kushoto[emoji23]Mleta thread pita huku....
WanastahiliKwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia
Sijambo, bila shaka Ram mzima pia sijamuona kitambonatumai upo salama, ram mzima?
Yaani unajisifia mwenyewe na mauzi yako yale ya kujipendekeza kusifu na kuabudu na kulamba watu miguu?Kwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia
Alikuwepo kwenye orodha ila Huyu kuna uzi wake ni kama alikuwa ananisema mimi nikaamua nikate jina lake na kumweka cocasticBila uwepo wa ROBERT HERIEL hii list ni batili