Kumi bora za wanaJF walioleta threads nzuri 2022

Ulianza vizuri Sana kwa kusema " kwa mtazamo wangu"

Mimi mitazamo ya watu huwa hainisumbui.
 
Asante sana Kiongozi wangu kwa Kunitambua na Kuniheshimu have hivi. Ubarikiwe nawe pia.

Nashangaa mpaka muda huu kwa huku Kunitaja na Kunisifu Kwako hujaambiwa kuwa hii ID yako ni yangu Mimi GENTAMYCINE kwani sasa nahusishwa na IIDs zote zinazonisifia hapa JamiiForums ila zile zinazonichafua na Kunichukia huwa sihusishwi nazo

Cc: OKW BOBAN SUNZU
 
Asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…