Kumi bora za wanaJF walioleta threads nzuri 2022

Kumi bora za wanaJF walioleta threads nzuri 2022

Unamwacha Mshana, Mpwayugu village, Umghaka, Bujibuji unamuweka Etwege unajitambua kweli?
 
Kwa maoni yangu wafuatao ni kumi bora ya wanaJF walioleta nyuzi zenye kujenga, kuburudisha na kuelimisha kwa mwaka 2022;
1. Pascal Mayalla
2. MamaSamia2025
3. Etwege
4. johnthebaptist
5. GENTAMYCINE
6. smarte_r
7. cocastic
8. Erythrocyte
9. DeepPond
10. Mmawia
huu uzi mzuri ulinipitaje december 2022 bila mimi kuuona?....sio bure,lazima kulikuwa na mkono wa mtu. nina wasiwasi popoma GENTAMYCINE alihusika(natania[emoji16]).

asante sana mleta mada kwa kunijumuisha ktk orodha. you are appreciated [emoji1431][emoji1431]
 
Back
Top Bottom