Broadcast
Member
- Jun 19, 2022
- 76
- 285
Bwana harusi Bwana Rajab Harmonize Ni Msimamizi Wa Hovyo kuwahi kutokea nchini. Huyu jamaa ana groom wasanii halafu hajui kuwasimamia wasanii hao.
Hebu angalia Jinsi anavyofnya kazi na wasanii wake leo anatoa wimbo kesho anatoa wimbo msanii wake akitoa na yy anatoa hana subira ya kusaubiri wenzie.
Ukimwangali hata yy bado anapambana binafsi akae midomoni mwa watu mpk anasahau wasanii wake.