Kumiliki lebo sio nywele kila mtu anazo

Kumiliki lebo sio nywele kila mtu anazo

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Bwana harusi Bwana Rajab Harmonize Ni Msimamizi Wa Hovyo kuwahi kutokea nchini. Huyu jamaa ana groom wasanii halafu hajui kuwasimamia wasanii hao.

Hebu angalia Jinsi anavyofnya kazi na wasanii wake leo anatoa wimbo kesho anatoa wimbo msanii wake akitoa na yy anatoa hana subira ya kusaubiri wenzie.

Ukimwangali hata yy bado anapambana binafsi akae midomoni mwa watu mpk anasahau wasanii wake.
 
Bwana harusi Bwana Rajab Harmonize Ni Msimamizi Wa Hovyo kuwahi kutokea nchini
Huyu jamaa ana groom wasanii halafu hajui kuwasimamia wasanii hao

Hebu angalia Jinsi anavyofnya kazi na wasanii wake leo anatoa wimbo kesho anatoa wimbo msanii wake akitoa na yy anatoa hana subira ya kusaubiri wenzie..

Ukimwangali hata yy bado anapambana binafsi akae midomoni mwa watu mpk anasahau wasanii wake
Ukipata muda andika tena tukuelewe.
 
Shabiki la Yanga utalijua
 
Ila Rajab japo mimi uwa mambo yake yananishangaza lakini kapigana vita wewe toka atoke WCB bado yupo midomoni mwa watu mpaka sasa
 
Kukupeleka kwa watu ni kazi yale lebo,kukomaa kuishi nao hilo ni swala lako msanii.
 
Dabliyusibii wiki hii mnaumia sana baada ya jamaa kuwashinda kwa kiki,, maana nchi nzima story ni harmo tu,,, nendeni mkamuue mfurahi basi
 
Back
Top Bottom