Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

sasa mkuu unatoka kwenye mada.
 
Kuna Uzi mwembamba sana unaotenganisha kati ya UTAJIRI NA UJAMBAZI AU
UTAJIRI=UJAMBAZI √
 
Hakika kwa asilimia kubwa ni hayo maajabu !
 
Kote huko sipo, ila najua kwenye hii nchi kuna siku nitaulizwa nitolee maelezo ya pesa nilizonazo kwenye bank account.

Sio Sasa hivi ila miaka kadhaa ijayo.
Uko kama Mimi
Ninachofanya naziweka kwenye mijengo tu
 
Nyumba nzuri, mke mzuri, magari mazuri (means yawe mengi), mshahara wa uwakika, pension….

So haya ndo maisha ya kawaida???
 
Hapa Tanzania wapo watu wanafanya birthday za milion 200. Sembuse kutumia 5M per day just imagine kwenda samaki samaki pale Milion moja unaweza ukaikata mwenyewe sembuse M tano mkuu
Ua
Million 1 tena kwa mtu mmoja pale samaki samaki unakula matangazo, viti na meza au na zile taa za kuwaka waka?

Acha bangi zako, niambie chakula gani kinafika laki 3 pale? Nitajie na pombe ya laki 5…
 
😂
 
Kuna RANGER imenipita leo kama upepo
Nimejiuliza yule jamaa katoa wapi pesa ukizingatia umri kama mimi. Nyumbani kulikuwa na uchawi tumeutelekeza tukakimbilia makaratasi sasa ranger zinanipungia vumbi.
 
Kuna RANGER imenipita leo kama upepo
Nimejiuliza yule jamaa katoa wapi pesa ukizingatia umri kama mimi. Nyumbani kulikuwa na uchawi tumeutelekeza tukakimbilia makaratasi sasa ranger zinanipungia vumbi.
Wewe una hold degree yanini mwenzako hapa jobless namiliki 🤣business administration degree na pili kifua za jero makutupora Intelligent businessman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…