granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
sawa mkuu, endelea kuotaHapana natamani kuish maisha ya ndoto yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuu, endelea kuotaHapana natamani kuish maisha ya ndoto yangu
Kongole mzee eti anafahamu hadi wagangafundi anafahamu siri za utajiri za matajiri ila ajatoboa mpaka leo, atakwambia hana tamaa ni uwongo hafahamu chochote kile
sasa mkuu unatoka kwenye mada.Unaelewa MBS ana matatizo yake kibao naye, kuanzia infighting za wana wa mfalme wa Saudi Arabia, mpaka geopolitics za dunia zinavyotishia usalama wake.
Kuanzia constant criticism and scrutiny the world over, mpaka challenges za kiuchumi za ku transition kutoka uchumi wa mafuta unaoonekana kuelekea kuisha umuhimu wake.
Kuanzia changamoto za upande mmoja ku modernize Saudi Arabia huku upande wa pili wahafidhina wa Wahabi wakikataa modernization na kutaka kuendeleza Uislamu wa msimamo mkali,
Mpaka changamoto za kiafya ambazo hela haiwezi kuzimaliza, stress na isolation ya kuwa mtawala wa Saudi Arabia na kuiongoza Saudi Arabia katika migogoro yote kuanzia Yemen, Palestina, cold war ya Wamarekani na Warusi etc.
Usione mtu ana hela na power ukaona upande mzuri tu.
Nimetoka vipi kwenye mada wakati nimeulizwa swali la MBS na nikajibu swali la MBS?sasa mkuu unatoka kwenye mada.
Tuanzie wapi kuvamiaKuna Uzi mwembamba sana unaotenganisha kati ya UTAJIRI NA UJAMBAZI AU
UTAJIRI=UJAMBAZI √
Hakika kwa asilimia kubwa ni hayo maajabu !Siku moja nilikaa na kibarua mmoja hivi alikuwa anasimamia ujenzi wa nyumba hapa jirani na kwangu. Yule jamaa akawa mshikaji sana, siku moja nikapata muda wa kupiga naye stori. Akaniambia amekuwa kibarua wa matajiri wengi sana hapa mkoa. Stori zikanoga acha aanze kufunguka siri za hao matajiri. Nikakuta wengi wao ni utajiri wa kishirikina. Alinipa historia ya utajiri wao mbaka nikabaki kushangaa tu. Mara huyu mganga wake yupo sehemu fulani, yule ameua ndugu yake mwaka fulani, huyu ametia uchizi watoto wake kina fulani. Yaani zile za ndani sana mpaka majina.
Nikaona sihitaji kuona tamaa, nikawe na maisha yangu ya kawaida tu, mke mzuri, magari mazuri, nyumba nzuri, mshahara wa uhakika, nikisubiri pensheni. Sitaki shida
Utajiri iiih ! Una mambo na siyo ya lelemama katu ?Kuna Uzi mwembamba sana unaotenganisha kati ya UTAJIRI NA UJAMBAZI AU
UTAJIRI=UJAMBAZI √
Uko kama MimiKote huko sipo, ila najua kwenye hii nchi kuna siku nitaulizwa nitolee maelezo ya pesa nilizonazo kwenye bank account.
Sio Sasa hivi ila miaka kadhaa ijayo.
Hao nao kindi lilelile ,,Wachungaji matapeli umewasahau
Nyumba nzuri, mke mzuri, magari mazuri (means yawe mengi), mshahara wa uwakika, pension….Siku moja nilikaa na kibarua mmoja hivi alikuwa anasimamia ujenzi wa nyumba hapa jirani na kwangu. Yule jamaa akawa mshikaji sana, siku moja nikapata muda wa kupiga naye stori. Akaniambia amekuwa kibarua wa matajiri wengi sana hapa mkoa. Stori zikanoga acha aanze kufunguka siri za hao matajiri. Nikakuta wengi wao ni utajiri wa kishirikina. Alinipa historia ya utajiri wao mbaka nikabaki kushangaa tu. Mara huyu mganga wake yupo sehemu fulani, yule ameua ndugu yake mwaka fulani, huyu ametia uchizi watoto wake kina fulani. Yaani zile za ndani sana mpaka majina.
Nikaona sihitaji kuona tamaa, nikawe na maisha yangu ya kawaida tu, mke mzuri, magari mazuri, nyumba nzuri, mshahara wa uhakika, nikisubiri pensheni. Sitaki shida
Million 1 tena kwa mtu mmoja pale samaki samaki unakula matangazo, viti na meza au na zile taa za kuwaka waka?Hapa Tanzania wapo watu wanafanya birthday za milion 200. Sembuse kutumia 5M per day just imagine kwenda samaki samaki pale Milion moja unaweza ukaikata mwenyewe sembuse M tano mkuu
Ua
Motivation speaker kwny ubora wako?Watu Wana zalisha unga wa sembe(ugali) na Wana pata, usi ulize kwenye mchele ndo kabisa.
Ila kila kitu ni hatua mzee, hakuna aliye Anza top ghafla.
😂Pesa ya ku spend 5 million per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?
Kwa mtu wa kawaida anayeishi miji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New York City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.
Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?
Infringement of privacy is a crime offense.Motivation speaker kwny ubora wako?
Wewe unazalisha nn?
Kuna RANGER imenipita leo kama upepoUnajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day
Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi
1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi
Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶
👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.
👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo
Jikubali
Wewe una hold degree yanini mwenzako hapa jobless namiliki 🤣business administration degree na pili kifua za jero makutupora Intelligent businessmanKuna RANGER imenipita leo kama upepo
Nimejiuliza yule jamaa katoa wapi pesa ukizingatia umri kama mimi. Nyumbani kulikuwa na uchawi tumeutelekeza tukakimbilia makaratasi sasa ranger zinanipungia vumbi.
Tatizo tunadhalilika sana babu hadi tunaachwa na watu tuliowapenda sanaHa
Watu wakikueleza walivofanikiwa inashangaza sana! Tubaki tu kwenye kipato cha buku kadhaa
Usijali mkuu wangu kuachwa ni sehemu ya Maisha 🙏Tatizo tunadhalilika sana babu hadi tunaachwa na watu tuliowapenda sana