Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Kumiliki maisha ya hadhi ya juu Tanzania ni ngumu bila kuwa sekta moja wapo kati ya hizi

Unaelewa MBS ana matatizo yake kibao naye, kuanzia infighting za wana wa mfalme wa Saudi Arabia, mpaka geopolitics za dunia zinavyotishia usalama wake.

Kuanzia constant criticism and scrutiny the world over, mpaka challenges za kiuchumi za ku transition kutoka uchumi wa mafuta unaoonekana kuelekea kuisha umuhimu wake.

Kuanzia changamoto za upande mmoja ku modernize Saudi Arabia huku upande wa pili wahafidhina wa Wahabi wakikataa modernization na kutaka kuendeleza Uislamu wa msimamo mkali,

Mpaka changamoto za kiafya ambazo hela haiwezi kuzimaliza, stress na isolation ya kuwa mtawala wa Saudi Arabia na kuiongoza Saudi Arabia katika migogoro yote kuanzia Yemen, Palestina, cold war ya Wamarekani na Warusi etc.

Usione mtu ana hela na power ukaona upande mzuri tu.
sasa mkuu unatoka kwenye mada.
 
Kuna Uzi mwembamba sana unaotenganisha kati ya UTAJIRI NA UJAMBAZI AU
UTAJIRI=UJAMBAZI √
 
Siku moja nilikaa na kibarua mmoja hivi alikuwa anasimamia ujenzi wa nyumba hapa jirani na kwangu. Yule jamaa akawa mshikaji sana, siku moja nikapata muda wa kupiga naye stori. Akaniambia amekuwa kibarua wa matajiri wengi sana hapa mkoa. Stori zikanoga acha aanze kufunguka siri za hao matajiri. Nikakuta wengi wao ni utajiri wa kishirikina. Alinipa historia ya utajiri wao mbaka nikabaki kushangaa tu. Mara huyu mganga wake yupo sehemu fulani, yule ameua ndugu yake mwaka fulani, huyu ametia uchizi watoto wake kina fulani. Yaani zile za ndani sana mpaka majina.

Nikaona sihitaji kuona tamaa, nikawe na maisha yangu ya kawaida tu, mke mzuri, magari mazuri, nyumba nzuri, mshahara wa uhakika, nikisubiri pensheni. Sitaki shida
Hakika kwa asilimia kubwa ni hayo maajabu !
 
Kote huko sipo, ila najua kwenye hii nchi kuna siku nitaulizwa nitolee maelezo ya pesa nilizonazo kwenye bank account.

Sio Sasa hivi ila miaka kadhaa ijayo.
Uko kama Mimi
Ninachofanya naziweka kwenye mijengo tu
 
Siku moja nilikaa na kibarua mmoja hivi alikuwa anasimamia ujenzi wa nyumba hapa jirani na kwangu. Yule jamaa akawa mshikaji sana, siku moja nikapata muda wa kupiga naye stori. Akaniambia amekuwa kibarua wa matajiri wengi sana hapa mkoa. Stori zikanoga acha aanze kufunguka siri za hao matajiri. Nikakuta wengi wao ni utajiri wa kishirikina. Alinipa historia ya utajiri wao mbaka nikabaki kushangaa tu. Mara huyu mganga wake yupo sehemu fulani, yule ameua ndugu yake mwaka fulani, huyu ametia uchizi watoto wake kina fulani. Yaani zile za ndani sana mpaka majina.

Nikaona sihitaji kuona tamaa, nikawe na maisha yangu ya kawaida tu, mke mzuri, magari mazuri, nyumba nzuri, mshahara wa uhakika, nikisubiri pensheni. Sitaki shida
Nyumba nzuri, mke mzuri, magari mazuri (means yawe mengi), mshahara wa uwakika, pension….

So haya ndo maisha ya kawaida???
 
Hapa Tanzania wapo watu wanafanya birthday za milion 200. Sembuse kutumia 5M per day just imagine kwenda samaki samaki pale Milion moja unaweza ukaikata mwenyewe sembuse M tano mkuu
Ua
Million 1 tena kwa mtu mmoja pale samaki samaki unakula matangazo, viti na meza au na zile taa za kuwaka waka?

Acha bangi zako, niambie chakula gani kinafika laki 3 pale? Nitajie na pombe ya laki 5…
 
Pesa ya ku spend 5 million per day unazifanyia nini? Una uraibu wa kucheza kamali?

Kwa mtu wa kawaida anayeishi miji ya gharama kabisa duniani kama Hong Kong, China, Singapore, Geneva Switzerland, Tokyo Japan, New York City, USA, London UK, Los Angeles, USA, kote huko bado hakujafikia maisha ya gharama hiyo.

Sasa shilingi milioni 5 kwa siku Tanzania unaendesha familia au timu ya soka?
😂
 
Unajikuta una fantasy za kumiliki mjengo, mikubwa, apartment kubwa kubwa, gari za bei mbaya watoto wasome shule zenye status!, uwe na pesa za kuspend 5million per day

Lakini ukweli mchungu huwezi kumiliki hivo vitu kama haupo sehemu moja wapo kati ya hizi

1.Siasa ya unafiki unafiki
2. Huna kipaji
3.biashara haramu,
4.uchawi

Bila hivi sahau range rover, sahau V8🥶

👉Muhimu usijeona maisha ya wengine ukadhani wewe umetengwa na dunia.

👉Hesabu Yale mazuri Mungu aliyokupa, usihesabu mapungufu ama Kasoro ulizonazo

Jikubali
Kuna RANGER imenipita leo kama upepo
Nimejiuliza yule jamaa katoa wapi pesa ukizingatia umri kama mimi. Nyumbani kulikuwa na uchawi tumeutelekeza tukakimbilia makaratasi sasa ranger zinanipungia vumbi.
 
Wewe una hold degree yanini mwenzako hapa jobless namiliki 🤣business administration degree na pili kifua za jero makutupora Intelligent businessman
 
Back
Top Bottom