The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
HahahaMadunduka ,,,, ! Mengine yamepewa ten ten, mengine yamejiendea tu!
"umeongea" kitu cha msingi sana!Inasikitisha sana
Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe.
Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi za watu .
Mtaji wa wanasiasa ni wananchi wapumbavu na raia masikini wenye kipato cha chini sana.
Nasikia idadi kubwa ya watu , wametokea huko Temeke, it means huko Temeke kuna mambumbu wengu na low income enarners ni wengi..
Nini kifanyike Sasa mkuu?Nchi hii haiwezi kukomboka, sababu madunduka ni mengi kuliko werevu..
Ni lazima madunduka yapungue, yanapunguaje ndio kipengele sasa.Nini kifanyike Sasa mkuu?
Ngoja tuupe nafasi muda!Ni lazima madunduka yapungue, yanapunguaje ndio kipengele sasa.
Hii ina uhusiano gani na Uzi huu?Kwahiyo wale wananchi ambao walikuwa wakideki barabara ili Lowassa apite hao walikuwa hawana akili?
Na wale wananchi waliokuwa wanaudhuria mikutano ya Chadema hawana akili ?
Ujinga wa mtu mweusi ni Kama mtoa mada watu wakisapoti ccm anawaita wajinga na wakisapoti chadema anasema wana akili.Hii ina uhusiano gani na Uzi huu?
Nimeshindwa kubadilisha, naomba unisaidie kubadilishaUngeanza kujikomboa wewe kwanza kwa kua na ubunifu wa jina la ID yako hapa JF,
Ila badala yake uka copy ID yangu na kuweka space tu ili tu kukwea mfumo usireject ID uliyonikopi.