Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
Hauwezi "kukomboa" kiakili binadamu sababu ni kiumbe kinachokuwa defined/kutengenezwa na mazingira yake. Kwa maaana hiyo binadamu ni kiumbe kinachobadirika chenyewe.
Ukitumia akili utagundua kizazi cha 2000 chenye exposure ya dunia ndio kitalikomboa taifa.
Ukitumia akili utagundua kizazi cha 2000 chenye exposure ya dunia ndio kitalikomboa taifa.