Kumkomboa mtu mweusi, anzia kumkomboa kichwani kwanza

Hauwezi "kukomboa" kiakili binadamu sababu ni kiumbe kinachokuwa defined/kutengenezwa na mazingira yake. Kwa maaana hiyo binadamu ni kiumbe kinachobadirika chenyewe.

Ukitumia akili utagundua kizazi cha 2000 chenye exposure ya dunia ndio kitalikomboa taifa.
 
Nimejiona nimeskitika mno,hii nchi ina wapumbavu wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…