Kumkwamisha Rais Samia Suluhu ni kuikwamisha Tanzania

Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi ghafla...
Nawatetea hawa wanatembea na msemo wa Legacy why?.

Zama za Magufuri zimepita akiwa Hai kama kiongozi kimamlaka, ila sasa katika viongozi ambao walikuwepo huyo mwamba amekuwa na tabia yake tofauti ya kiuongozi tofauti na wengine.

Utofauti huo ndiyo umepelekea wengi kutopenda aina ya tabia aliyokuwa nayo kitu ambacho wangi hatukuzoea.

Binadamu tuna tabia ya kutaka tabia, hurka na mienendo za binadamu wote ziwe sawa, kitu ambacho hakiwezekani.

Hawa waliosemwa na wengineo, siyo kwamba wanamtetea Magufuri la asha kuna jambo alilofanya Magufuri ila baadhi yenu mnahafifisha kile alichofanya na ndicho hicho ambacho wale watetea Legacy wanasimama nacho.

Binafsi nasimama nao, japo wengi mnasahau anayeoita ni bora kuliko anayekuja ambaye humjui.
 
Nawatetea hawa wanatembea na msemo wa Legacy why?.

Zama za Magufuri zimepita akiwa Hai kama kiongozi kimamlaka, ila sasa katika viongozi ambao walikuwepo huyo mwamba amekuwa na tabia yake tofauti ya kiuongozi tofauti na wengin...
Hujazungumzia utafunaji wa pesa za umma na hawa watu, Wewe unaonaje au nahapo unawaunga mkono?
 
Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi ghafla...
Wanaiba halafu wanawahi kusema kunawizi hapa,

Jinga sana nyie,
 
Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi ghafla....
Hatutakubali hili litokee
 
Na akijikwamisha mwenyewe mtafanyaje? 🙄
 
CCM wanakataa katiba mpya ili waendelee kukaa madaakni, lakini mambo hayawezi kwenda bila katiba mpya ndiyo hitaji la sasa
 
Chuki binafsi toa takwimu
 
Na concrete measures zichukuliwe isiishie maneno matupu tuu.
 
Kweli unalichukia hata jina la Magufuli. Hivi unajua 1.5T ni kiasi gani. Magufuli aliziweka wapi??????????????? Mchagga wewe una wazimu
 
Hujazungumzia utafunaji wa pesa za umma na hawa watu, Wewe unaonaje au nahapo unawaunga mkono?
Issue ya kutafuna fedha za umma ni donda ndugu, siwezi kumpinga mtu flani aliyeiba fedha ya umma wakati sheria zenu zina ukengeufu kwenye kuwashitaki watanzania.

Pale ambapo atatokea kiongozi asiye na masikio ndipo tunaweza kuondoka kwenye hili ombwe la wizi wa mali za umma, akabadiri katiba na sheria za kuwalinda high profile people na waonje moto huko mahabusu.

Vinginevyo mtakuja na maneno mengi dhidi ya wafu!.
 
Ninachojua Samia hana watu wake wanaofuata kiitikadi! Watu wanaosupport Samia ni wale Team Msoga na wale ambao hawamkupenda au kumkubali Magufuli. Yaani iko hivo kwaiyo group hizo zote mbili wanachofanya ni kutafuta sehemu ya kujipoozea ili kesho na kesho kutwa wafanikishe mipango yao.
 
Kweli unalichukia hata jina la Magufuli. Hivi unajua 1.5T ni kiasi gani. Magufuli aliziweka wapi??????????????? Mchagga wewe una wazimu
Wewe ni nani kwenye hii nchi hadi upingane na CAG?
 
Kwahiyo CAG akikuambia kuwa analala na mama yako utakubali?
Mfano wako ni mfano mfu.

CAG kulala na Mama yangu ni kazi za controller audit kwa mujibu wa sheria?CAG akiniambia kuwa anataka kulala na Mama yangu sitakubali kwa sababu hiyo siyo kazi ya controller auditor kwa mujibu wa sheria.

Comment yako hii imeanika vile uwezo wako wa akili ulivyo mdogo.CAG ni moja ya mamlaka za kuaminika na zinazoheshimika sana katika nchi hii.

Kwa mujibu wa CAG ambacho ni chombo cha kuaminika katika nchi hii,Magufuli ndiye fisadi bora wa muda wote taka usitake.
 
Wewe ni mpuuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…