Kumkwamisha Rais Samia Suluhu ni kuikwamisha Tanzania

Wewe na nani ndio hamkubali?
 
Dawa ya hii Mama bila kuwatazama usoni awafute wote

Huwezi kuongoza kwa Staff iliyowekwa na mtangulizi wako never

Mama weka watu wapya wenye Dira na Mwelekeo wako otherwise hawa wataharibu huku wakijiondoa,

#Kaziiendelee
 
Amejikwamisha mwenyewe kwa kudai kuwa urais kwake ni janga, akimaanisha kuwa hauwezi.
Your browser is not able to display this video.
 
 
[emoji23][emoji23]
 
 
#Tanzania kaziiendelee
 
Hakika Watanzania tusikubali hili,
 
Sasa napata picha. rais ambaye atawakosesha usingiz Marais wajao ambao hawajielewi ni hayat jpm,hii kitu itakaa miongo na miongo.Naona jinsi watu wanavyoteseka hayati.Msimamo humpa mtu heshima !!
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
Nadhani bado hakuna kama Samia
 
#Kaziiendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…