Kumlazimisha mtu kutoa sadaka ya shukrani kwa kufiwa na mama yake aliemuuguza miaka 10 kwa cancer na stroke yenye mateso makali sio sawa

Kuanzia lini sadaka ya shukrani inalazimishwa?
 
Kutoa sadaka ya shukurani ni sawa maana tunapaswa tushukuru kwa kila jambo, liwe zuri au lah.

ILA haipaswi kuwa jambo la kulazimishwa ni mtu aamue na moyo wake.
Sio lazma iwe ela ata ya mdomo kama huna ela
 
Ukitoa sadaka ya mdomo tu watasema una upepo.
Peleka Pesa au Mbuzi, Ng'ombe n.k
Hiyo sasa sio sawa. Mimi nimefiwa, kuna gharama za msiba na kuuguza. Naanzaje kutoa tena resourcess. Haya makanisa yamekaa kiupogaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…