Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazma iwe ela ata ya mdomo kama huna elaKutoa sadaka ya shukurani ni sawa maana tunapaswa tushukuru kwa kila jambo, liwe zuri au lah.
ILA haipaswi kuwa jambo la kulazimishwa ni mtu aamue na moyo wake.
Inasikitisha sana
Hiyo sasa sio sawa. Mimi nimefiwa, kuna gharama za msiba na kuuguza. Naanzaje kutoa tena resourcess. Haya makanisa yamekaa kiupogaji sanaUkitoa sadaka ya mdomo tu watasema una upepo.
Peleka Pesa au Mbuzi, Ng'ombe n.k
Kutoa ni lazima kwa sasaSadaka saivi zinalazimishwa kutoa, kutoa sio moyo tena kutoa ni lazima.