Kumng'ang'ania Manji kila anapotaka Kujiuzulu / Kuachana na Yanga ni udhaifu au dhiki za Wanayanga?

Rufaa imeishia wapi mwagito? Naona ya ndani mwako yamekushinda sasa umehamia kwa mabingwa...mchecheto huo!

Viongozi wetu wameshatufanya sisi Malofa sasa subiria Kesho tusichukuwe Ubingwa wa ASFC ( FA ) ndipo watatutambua.
 
Viongozi wetu wameshatufanya sisi Malofa sasa subiria Kesho tusichukuwe Ubingwa wa ASFC ( FA ) ndipo watatutambua.
Mpaka siku ifikie hizi timu za bongo ziwe kampuni ndio tutaona soka lenye malengo. Sasa hivi klabu zinaendeshwa na wafia tumbo. Subiri msimu ujao uone mauzauza Jangwani, maana mwenye kauli katoka.
 
Mpaka siku ifikie hizi timu za bongo ziwe kampuni ndio tutaona soka lenye malengo. Sasa hivi klabu zinaendeshwa na wafia tumbo. Subiri msimu ujao uone mauzauza Jangwani, maana mwenye kauli katoka.

Mkuu subiri leo tufungwe huko Dodoma tukose tena tiketi ya kushiriki michuano ya Kimataifa uone kipi tutawafanya Wachezaji pale Uwanjani hadi na Viongozi wa Simba SC. Salama yao ni kuibuka tu na ushindi dhidi ya Mbao FC na zaidi ya hapo leo Police na FFU watatusamehe kwani tutatembeza Kichapo cha kufa Mtu ambacho hakijawahi kutokea nchini Tanzania pengine hata baada ya Vita dhidi ya Nduli Idi Amin Dada.

Wanasimba tumechoka sasa kutukanwa na kutiwa vidole vya machoni na Yanga FC kila uchao kwa upumbavu tu wa Michezaji yetu baadhi na Viongozi wetu. Katika siku ambayo wanasimba wote tuko katika Ubora wetu wa hasira na machungu ni leo na hizi hasira zitakwisha tu pale ambapo Mnyama Mnyamani ( Simba SC ) atabeba ndoo vinginevyo Wallahi leo tunakinukisha kote kote Msimbazi Klabuni na kule kule Jamhuri Mkoani Dodoma.

Enough is enough!
 
Manji has been Mezani FC worst nightmare.
They will love to see him leaving Yanga.

Unfortunately for them, Manji might go and Matopeni FC will only dream of winning the VPL
 
Ngozi nyeusi hatuwezi kutawala,aliyeweza ni Kimei tuu wa CRDB.Subiri ataingia mmatumbi mwenzetu utasikia migogoro kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…