jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,025
- 4,276
Wanawake wenye tabia hii, laana ni ya kwenu taka msitake itawatafuna....
Hakuna kitu kinamkera mwanaume akili kama anakununulia vocha na ana hakikisha bundle unalo dk zipo za kutosha tena ana kuuingia mitandao yote mwezi mzima ila wewe huna hata mpango wa kumtamkia umeamkaje au usiku mwema..
Yani ukiishishwa vocha ndio unakumbuka unae mwanaume unaanza kujibebisha bebisha na ukifanikiwa ungiwa bundle's yani unapotea hata kumjua ameshindaje au kama yupo hai hakuna labda akutafute tena yeye mwenyewe ...
Kiukweli tunajua hiyo ni dalili ya kutukataa na tena vocha tunazo waungia mnatumia kuwasiliana na wanaume wenzetu ila mtukumbuke na sisi tunao waungia hayo mabundle sio uishiwe bundle au uone muda wake umekaribia kuisha ndio mtukumbuke ili tuunge lingine.
Huo ujinga acheni, siku mkija kua masingle maza au mna zeekea nyumbani bila kuolewa msisahau hii ni laana yetu hakika itawapata
Ewe mwanamke kama huna mpango na mtu mwambie ukweli ukishindwa mwambie wewe ni rafiki tuu sio mpenzi ili anapotoa ajue anampa rafiki na sio mpenzi..
Sasa msiseme hamkuambiwa