Kumnunulia mwanamke vocha na asikutafute inakera sana

Wanawake waache waishi watakavyo ukishindwa achana nao maana hawaelekagi.

##JUST EAT AND RUN

## HIT AND RUN

## KATAA NDOA [emoji3544][emoji3544]

## NYWA
 
Tatizo mna date na mademu cheap sana ,mademu wasiojielewa. Yani unadate na mtu ambaye hata elfu 2 ya vocha inamshinda na wewe unahesabia kabisa una demu na unaweza ukamtambulisha mbele za watu?
[emoji12][emoji12][emoji12] pisi kali inataka elfu 2 ya vocha
 
Wakati takwimu mbalimbali zikionyesha mimba shuleni, vyuoni zikipungua, Mwananchi limebaini kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo.
 
Wanawake wenye tabia hii, laana ni ya kwenu taka msitake itawatafuna...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa sijui unalalamika nini, maana hamkuahidiana kuwa atakupigia simu wewe. Yaani unashindwa logic na mwanamke unaishia kutumia hisia, kilichokufanya utoe sikimbelembele chako huku ukijijua una fragile ego. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ewe mwanamke kama huna mpango na mtu mwambie ukweli ukishindwa mwambie wewe ni rafiki tuu sio mpenzi
Unasubiria kuambiwa sio, huna intelligensia?. Kama kusoma huwezi picha za matukio afanyayo huzioni?. Utaendelea kulialia wee na vocha zako zishaliwa na wajanja. Wake up.
 
we ni mwanaume ni jukumu lako kumfurahisha na huhitaji kushangiliwa wala kupongezwa ...pili ndiyo akili zao wanajua uko na mindset isiyohiaji shukrani, kupewa pongezi na ndio maana siku yake ya birthday atataka zawadi ,womens day atataka umpost akifanya kitu chochote anataka umpngeze, umsupport..ila kwa mwanaume itafika siku ya kuzaliwa hata asikumbuke ,unaweza ukakaa naye miaka asikupe zawadi hata pipi lakini hutakiwi kuwa na gubu ...youre a fuckinhg'' Man '' unafanya wajibu wako kama inavotakiwa bila kujali appreciation... ndo kuishi nao kwa akili.
 
Kwani ni lazima mu "do" mkuu,si mchill tu,
Tenda wema uende zako,malipo kesho
 
Tena mwingine anakuomba kabisa umrushie vocha unarusha halafu anaipata anapiga kimya hata text ya neno asante hakuna mpaka umtafute umuulize kama imefika au la[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…