death strokes
Member
- Dec 16, 2022
- 49
- 126
Kabla sijakuwa vizur nilidhani kuwa mnyenyekevu na kubehave hivyo basi utapendwa na kuheshimiwa ila baada kupigwa sana na kuonewa kitu nilichokuja kukigundua kila mtu anaiona dunia katika mtazamo na tafsiri yake sio kila mtu anaheshimu unyenyekevu wa mtu yani kuna tabia ukizionesha kwa mtu A reaction zake na atavyokuchukulia tofauti na mtu B